pamoja na jamaa katufuma juzi lakini bado bwawa la maini hatutembei pekee kila mahali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. watoto wa mlimani wanalia ooh asilimia 40 ooh hakuna ajira, mbona ajira kama hizi zipo kibao tu wakijiajiri ka mchizi hapo kutakuwa hakuna migomo ya kipumbafu

    ReplyDelete
  2. kuna watu wanaongea pumba kwenye hii blog,sijui some time ni utani?kazi ya kushine viatu ili upate asilimia 40,kwa nini watu wanapenda kufananisha bongo na mamtoni?

    ReplyDelete
  3. Michuzi.
    Usiwe na wasiwasi siye ndiye mabingwa wa Ulaya mwaka huu.Hao Chelsea kitun gani.Kinachininyima amani ni kukutana na AC Milan naona watatusumbua aheri ya kukutana na hao wachovu Man U.
    Shaka usitie.BADO TUKO WOTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...