sehemu ya pili ya mradi tarajiwa wa mzee saidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michu, Ninajaribu ku-review huu mchanganuo, hebu nisaidie hapa;
    Hii gharama ya kununua broiler mmoja Shs.2,800 inakuwaje bei ya kuuzia inakuwa Shs. 1,100? au sijaelewa huu mchanganuo?

    ReplyDelete
  2. Mambo ya kuchangishana ni kizamani. Kumsadia huyu mzee ni kumtafutia kazi ili apate hizo hela. Michuzi vipi hapo daily News mzee si alikuwa registry clerk...kazi hizo zipo hapo nauhakika. Kumchangia sio ufumbuzi wa kudumu, kesho tena atakuja kuomba tumchangie mtoto aende shule. MTAFUTIENI KAZI TAFADHALI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...