Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii ndoa ya CUF na CCM ina mgogoro ambao hautatuliki. Kama kipanya anavyosema, Muafaka wa siasa za Zenji ni serikali ya Mseto, kama hilo halitoshi, basi muafaka halisi ni mpaka chama cha CUF kishinde basi uchaguzi huo utakuwa huru na haki. Rahma (Ukraine)

    ReplyDelete
  2. Uwiiiiiiiiiiiiiiiii Michuzi umeona? Counter yako vipi nani kakukorofishia, ati ndo kwanza unakaribia kufikisha visitora alfu 6? imeniuma utadhani blogu yangu vile. Au ni kitu temporary, du umeliwa, CV unaikanyaga chini hivi hivi. Basi itabidi kwa wanaobisha kuwa ulikaribia hits 1.500.000 waambie wadunge HAPA

    ReplyDelete
  3. Wadau kuna badari nilikua nasoma kwenye alasiri Shyrose naamini kwa mlioko bongo,mimi kwa kweli simjui eti wabunge walijadili kuhusu uvumi wa ndoa yake na kijana wa bongo flava Jaffarai what's wrong hawa watu wakioana?Mliko bongo tunaomba taarifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...