
rais wa zanzibar mh. amani abeid karume akiwa na (toka shoto) mufti mkuu wa zanzibar sheikh harith bin khelef, jaji mkuu wa zanzibar mh. hamid mahmoud, naibu kadhi mkuu sheikh juma khamis, naibu waziri kiongozi na waziri wa habari, uUtamaduni na michezo ali juma shamuhuna na kadhi mkuu wa zanzibr sheikh ali khatibu mranzi walipomtembelea ikulu zanzibar leo
Mbona kuna maji mbele ya aliposimama Karume na Mufti? Au wamabauwa?
ReplyDelete