jkn na aak wakibadilishana nondo za muungano miaka 43 ilopita kuidhinisha rasmi tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kifimbo alimpa nani? au kiko kwa kwapa?

    ReplyDelete
  2. Umefika wakati wa kuwa na serikali moja huku Zanzibar ikiwa wilaya ya mkoa wa Pwani na Pemba wilaya ya mkoa wa Tanga. Ashakumu si matusi, naomba nisipigwe.

    ReplyDelete
  3. Kwa maoni yangu Kosa la Nyerere na Karume ilikuwa ni kutuunganisha na Wapemba.Huu muungano ulistahili kuwa kati ya Tanzania Bara na Unguja tu. Pemba wangeachana nayo.

    Kuwa na Pemba kwenye muungano wowote uwe wa Zanzibar,Tanzania au Afrika mashariki ni balaa tupu.

    Muungano ambao wapemba wanauweza,kuuamini na kuukubali kwa moyo wote ni ule tu wa wapemba kwa wapemba.Nje ya hapo hawakubali.

    ReplyDelete
  4. Kweli Pemba ingeenda Kenya. Saa hizi ingekuwa kisiwa cha watalii kama Mombasa.

    ReplyDelete
  5. Michuzi nasikia huu mkataba upo kwenye 'memory hole' hivi ni kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...