Home
Unlabelled
nondo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kifimbo alimpa nani? au kiko kwa kwapa?
ReplyDeleteUmefika wakati wa kuwa na serikali moja huku Zanzibar ikiwa wilaya ya mkoa wa Pwani na Pemba wilaya ya mkoa wa Tanga. Ashakumu si matusi, naomba nisipigwe.
ReplyDeleteKwa maoni yangu Kosa la Nyerere na Karume ilikuwa ni kutuunganisha na Wapemba.Huu muungano ulistahili kuwa kati ya Tanzania Bara na Unguja tu. Pemba wangeachana nayo.
ReplyDeleteKuwa na Pemba kwenye muungano wowote uwe wa Zanzibar,Tanzania au Afrika mashariki ni balaa tupu.
Muungano ambao wapemba wanauweza,kuuamini na kuukubali kwa moyo wote ni ule tu wa wapemba kwa wapemba.Nje ya hapo hawakubali.
Kweli Pemba ingeenda Kenya. Saa hizi ingekuwa kisiwa cha watalii kama Mombasa.
ReplyDeleteMichuzi nasikia huu mkataba upo kwenye 'memory hole' hivi ni kweli?
ReplyDelete