Home
Unlabelled
vijiwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Takbiru alaa walibalu!! Hivi kweli huyu ndiye yule mjasirimali maarufu Mkandara wa bcstimes? Ngoja na mimi nikijaga kuvinjari Bongo nitakutafuta wewe Michuzi ili na mimi nijipatie "cheap popularity" mtandaoni.
ReplyDeleteI don't get it...ni nini hasa kinachokufanya kupost kila picha za misafara yako unayofanya?What is the point here?
ReplyDeleteSijui ama ni sifa,umaarufu/ubutu wa kufikiri ama sababu nyingine zozote ambazo zinawafanya watu kuwa limbukeni wa kutojua nini cha kuanika humu na nini cha kuweka kwenye sanduku lao.Pengine pamoja(nia njema?)na kutaka ku share muda na washikaji wako,we don't need to see it.Keep it to urself.Na kwa heshima yao.I really don't get it!!
hapo ni yupi katoka toronto?
ReplyDeleteNawapenda sana watanzania waliopo hasa nchi kama uholanzi na nchi nyingine za scandnavia.Tofauti na wale walioko USA,UK na Canada.Hawa wa nchi hizi tatu ni sifa tuuuuuuuuuuuuuuuu kila kitu picha Onyesheni mambo ya msingi ambayo watu wanaweza kunufaika nayo.Mahusiano mengine weka mfukono.
ReplyDeleteBig up watanzania mlioko Holland hamna sifa mambo yenu kimya na Mungu wenu.
Acheni uzushi nyie...Wat is this blog 4? kila picha inamaudhi yake, kama wewe huipendi shut up n get on wit it. Wengine tunaenjoy dispite not liking i. SO SHHHHHHHHHHHHH. michuzi lete mambo
ReplyDeletehako kafupi shati la mikono mirefu kanaonekana ni kapambe na tayari kameshiba pombe za wadau ila usisahau kuomba mtaji wakiondoka
ReplyDeleteHey Michuzi ..hebu tuambie kulikoni. Unafanya tour na huyu jamaa, manake akienda kuaga upo akienda kula upo. Mh sasa tueleze au ni ndugu yako? Au tutaweza ku book wapi nasiye tukija bongo tutapata wapi hiyo service ya kufutwa nyuma na a big shot photographer.
ReplyDeleteKuuliza si ujinga....we want to know.
Sioni anaeonekana kama kadondoka kutoka mamtoni.Labda huyo aliye nyuma ya hiko kipambe kifupi.
ReplyDeletewe anonymous hapo juu umenichekesha sina mbavu,hako kajamaa kafupi kako bwii kwa pombe za bure,wapambe kama hawa kwa kusifia watu waliotoka ughaibuni hawajambo,lakini kama ulivyosema kasisahau kuomba mtaji!
ReplyDeleteHahahahahahaha.....Abdallah Mkandara....lete stori za bongo basi.
ReplyDeleteWauza unga tuu hawa. Angalia jinsi walivyokaa kihuni kihuni kama watoto wa Kariakoo vile.
ReplyDeleteToronto, toronto !! Kila tukifungua mdau kutoka Toronto, tumechoka bwana Misupu, mwambie arudi akabebe mabox aache wazalendo hao waendelee na shughuli zao.
ReplyDeleteOyaa!! Takbiru alaa walibalu mazee! Wewe anoni wa 12:11:00 pm fahamu kuwa watu huwa tunakwenda na wakati. Sasa unategemea Mdau kama Mkandara aupate wapi umaarufu wa bure? Unajua watu wa rika lake wamekulia kwenye enzi za kutafuta urafiki wa kalamu kwenye Uhuru & Mzalendo, kutumiana salamu kwa mjomba feki aliye matembezini NY Radio Tanzania Dar es Salaam ukiambatana na ombi la kibao machachari cha "My Sweetie, my sugar, my baby, my honey ... let me hold you, forever, oh yeah!!!" cha Bunny-Mack. Sasa leo hii unaambiwa kuna Mtandao, tovuti, luninga na Utandawazi, Udau na Ushikaji Udau bila kusahau Ulaji na Ujasirimali. Tunakwenda na wakati bana. Get a grip!!
ReplyDeleteMuuza machungwa impress alie ukata wacha awakote kina fundi mussa.
ReplyDeleteKwa kuangalia hiyo picha tuu naweza kuwajua hawa jamaa vizuri sana ok nikianzia kutoka kulia huyo mwenye shati la zambarau ni mpole,mstaarabu na ni msafi angalia ana pen kwenye kifuko cha shati ila anaonekana life haijamwendea vizuri kama anavyotaka,wa pili ni deiwaka na he's not serious na life,wa tatu haeleweki vizuri ila anaonekana hana ajira,mwenye kapero(kofia) anaonekana alivyokuwa yank alikuwa mjanja sana na alienda mtoni kutafuta life na inaonekana hakurudi home kwa miaka mingi sana na sasa amerudi na anaappreciate sana wabongo lakini still hawezi kaa bongo maana anaamini atamake ulaya na inaonekana ana mke mtoni huyo wa mwisho ni mpiga miluzi ameridhika sana na life ingawaje kipato kidogo...tutaendelea kuchambua picha za wadau mpaka Michuzi atukataze
ReplyDelete