Home
Unlabelled
watarajiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona mtoto Vicky si haba, Bro Michu fanya mambo basi!!Walahi Bongo lazima nirudi!!
ReplyDeleteYA LEO KALI DU!huyo msimamizi alivaa NGUO YA KULALIA AU?????????????
ReplyDeletehapo mwanangu ni kula ile mbaya,halafu bia zinakatwa hapo si mchezo huku matarumbeta yakipulizwa kwa nguvu sana paapapappaaaa paa papa mpapapa apapapa pa papa papaa paaaaaa...chereko chereko oyeeee kweli kukaa ughaibuni namiss vingi.!!
ReplyDeletewamenuna kwa chati. Ndoa tamu jumamosi waambie watabasamu zaidi. Picha zinapendeza ukitabasamu
ReplyDeleteHongera Barasa na kila la kheri kama wagosi wambavyo Unyumba ni mapatano m'ntu na mkaziwe kuhembezana. Tulikuwa wote kwenye short kozi ya MAMET Dar.
ReplyDeletehongereni watarajiwa, harusi za huko home poa sana. harusi za huku ughaibuni ni matatizo tu, wiki iliyopita huko united kingdom kuna watu wamerudishiwa michango yao ya harusi na sanduku lao walilomtunza somo kwenye kitchen party, kwa ajili ya masimango yao na midomo yao isiyochoka kuteta watu. kama hamtaki kuchanga si mkae kimya kuliko kuchanga harafu mnaunda vikao vyenu vya kuwateta wenzenu. yaani wabongo wa UK mmezidi sana si wenzenu huku US tunachangiana dollars kibao na hamtasikia maneno yoyote. hongera muhusika kwa kukataa kunyanyaswa na ukaamua kurudisha vijisent vyao na vipamba vyao. tunapenda watu kama nyie.
ReplyDeleteNimependa sana outfit ya bwana harusi mtarajiwa yaani hiyo tie na shati ametoka bomba sana silk tie imemtoa bomba sana na rangi yake pia imesimama ila sema huyo msimamizi wa bibi harusi mtarajiwa kidogo nguo ya ina walakini sijui ni sababu ya umbo i really dont know it doesnt that nice all in all wametoka bomba ile mbaya
ReplyDeleteBwana Barasa eh! Hicho chombo simchezo!! Hapo mke unae ! Hongera BRo!!
ReplyDeletederick nakusapoti tie ya bwana harusi imesimama pia na mavazi bi harusi hapo yupi yule wa kwanza au>well sio mbaya she lookn good but angesmile zaidi angeonekana mrembo zaidi
ReplyDeletehuyo jamaa hapo juu ambaye sio anoni, blogu zote ukitoa comment huwa ni kusifia tu, jiweke kama anoni, maana kila upepo unakubeba
ReplyDeleteWe fala wa 6:12pm , hauni kuwa hapo kuna wawili ambao sio maanon, Derrick Mushoboz na Henry Mpunga. Kuwa specific, by the way wewe umeonekana kuwa anon sasa kitu gani kinakuogopesha kusema jina kama si usenge ni nini.
ReplyDeleteKaka Michu mpe hongera zake Chabby msalimie sana!! Duh Senior Bachellor katutoka!!! Jamaa wa siku nyingi bwana tangu Daily News ya Azikiwe!!
ReplyDeleteUmesema kweli anony hapo,huyu jamaa anatafuta umaarufu kwa nguvu sana.Kila blog..kila picha yeye anasifiaaaa,yaani unaona wazi kabisa anavyojikomba kwa hawa jamaa.Hana maoni ya kweli,mnafiki sana.Simjui jamani ila anaboaaaaaa.
ReplyDeleteJitahidi kuchangia kwa mtazamo wa kweli na kusifia inapofaa kama hawa watarajiwa,maana kule kwa sheria na mavazi ndo unaboa maana unasifia kwa kurudia maneno ya sheria...nomaaaaa!
ANONYMOUS APRIL 27 2007 6:12:00PM
ReplyDeleteNaona una matatizo kidogo mimi nikisifia wewe ni kitu gani kinakuuma kama umekosa kitu cha kuongea ni bora MIND YOUR OWN BUSINESS kuliko kuja humu na kuanza kujadili kuhusu watu wengine just be careful with what you say maana unaongea sana kama mwanamke f**ck.
wee derrick kweli kichwani hamna kabisa aliyekwambia hii blog wanatembelea wanaume nani? au ndio unataka kutukorofisha wanawake na michuzi atuone hatutembelei blog yake? aliyekwambia mimi hapo juu yako mwanaume nani au hujui maana ya anony mhh aibu toa jina rudi shule maana wanaokujua wanashangaa vitu gani vinaendelea hapa?
ReplyDeleteKwani hamjui huyu mushobozi ni nshomile,hamuwajui hawa tabia zao?tabia zao huwa ni kujikombakomba tu hawana lolote hao na nashangaa tungewaacha tu wawe upande wa uganda.
ReplyDeleteSHATI GANI LA KIDUANZI KAMA BANK TELLER BWANA KWENYE HARUSI FANYA MAMBO AAAAAHHH SORRY IMESHAPITA KUMBE HOPE ULIPENDEZA.
ReplyDeletendugu yangu wa saturday 8:57:00am kama unagombana na mushobozi gombana na mushobozi lakini usi lump together kabila la watu zaidi ya laki tano kwamba wana tabia moja, it is not fair. na haya ya kuona wahaya hatustahili kuwa watanzania yametoka wapi?and who deserves to be a Tanzanian then? tuombe radhi tafadhali.
ReplyDelete