waziri mkuu mh. edward Lowassa, waziri wa afya na ustawi wa jamii profesa david mwakyusa (wapili shoto), rais wa bunge la afrika dk. getrude mongella, asistanti katibu mkuu wa umoja wa mataifa na naibu mkurugenzi mtendaji msaidizi wa unicef, kul gautam (wapili kulia, habari zake bofya hapa) na mwakilishi mkazi wa undp bongo oscar ferdnandez taranco (kulia) wakiwa wameshikana mikono kuonyesha solidariti baada ya mh. lowassa kufungua mkutano wa partners forum meeting for maternal, newborn and child health kwenye hoteli ya movenpick, dar, usiku wa jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hivi jamani naomba mnisaidie inawezekana nachemsha. Naibu au Deputy Katibu Mkuu ni Ms Migiro au kuna mwingine au mimi ki-mombo changu butu. Mimi naelewa kwamba Deputy secretary general ni Naibu Katibu Mkuu au kunavinginevyo.

    Rahma (Ukraine)

    ReplyDelete
  2. UN ina vijimatawi matawi vingi na kimoja wapo ni hiyo UNICEF mkuu wa kijitawi kimoja wapo {say unicef} amae anamuwakilisha katibu mkuu wa UN yenyewe huwa nae anaitwa Naibu katibu ,so huyo hapo ni naibu kwnye hiyo UNICEF ,na naibu katibu mkuu wa UN NDIO HUYOOOO AMBAYE NAHISI ULIKUWA UKIMFIKIRIA{migiro}.
    Basi kama kuna upungufu hapa naomba nami nieleweshwe!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi,

    Tunashukuru sana kwa hii picha. Ila tu tunaomba utuwekee picha picha ya hao watu wa upande wa pili. Picha chymba cha wazazi na wakina mama waliotoka kujifungua pale hosipili ya M/nyamala au Muhimbili, picha za manesi na madokta wa watoto na wakunga wa kienyeji kadhaa ili tupate mlinganisho.

    ReplyDelete
  4. There is a difference between assistant SG and Deputy SG. Swahili is very limited in words thats why we have the same word for those two words.

    ReplyDelete
  5. Poor Rahma. kama akili ni nzito kiasi hicho watakutimua huko Ukraine... Migiro ni Deputy Un, huyo ni UNDP. au hujui tofauti yake tukusaidie pia.
    Lol, aibu umeweka na jina pia.....

    ReplyDelete
  6. Barua toka kwa Baba wa Taifa

    To: Mrisho Jakaya Kikwete

    Kijana,

    Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading the nation in wrong direction. And as a former statesman, I feel duty-bound to warn you at this time before you plunge our beloved
    Tanzania into a bottomless pit.

    Please stop squandering public money jetting around the world in
    search of fame and popularity while millions of children back home who can no longer have milk to drink are starving to death. You need to be sensible and
    sensitive statesman.

    Take me for example; my immense popularity at home had been based not on wild promises of a golden future but on a clear-eyed appraisal of the hard work that was ahead of me, the work of correcting and undoing the
    wrongs and errors of colonial institutions.

    And as it was back then, I still believe, and that is what it should
    be, that nobody is great without work. For that reason, you need to weigh up your demeanor. Tell Tanzanians to get off their butts and work. Not just work, but work hard. Your economic team needs to do the same, too. There is no economic growth in this modern era that is triggered by old
    primitive ideas.

    Jakaya, you are perhaps aware that during my entire 24 years of
    presidency, I never at once believed in begging. And that is why I tried as hard as I
    could to break away from Western donors by attempting to achieve
    self supporting state through "ujamaa" policy. Of course, it proved disastrous due to lack of individual incentives, but I tried.

    Mmh, I don't wanna sound inquisitive here, but with all due respect, what new thing have you tried in your first year in office? Don't answer that...

    I know it is not for me to tell you how you should run the country, but the truth of the matter is: where there is too much expectation and too little hope, despair among people will always seem greater.

    You have created false expectation to Tanzanians promising to give
    them golden future, but I see no any viable plan to accomplishing that.

    Anyway, your predecessor Ben wrote to me the other day that you have
    appointed Luteni Makamba as a new Chama Cha Mapinduzi's secretary
    -general. Is that true?

    Who's idea was this anyway? Ali's or Jumanne?

    Please don't tell me that it was your own idea because you know for
    sure that the guy is not a man of fine intelligence to lead such a
    mega-party like CCM. I think Salim could do a better job as a party's
    general-secretary than Yusuf. If you can, re-examine your choice.

    Concerning mining policies, your ultimate goal is not clear yet.
    Russia has tried to assert more control over its oil and gas resources, Venezuela and Bolivia have moved to curtail oil companies; but in Tanzania ,
    companies which mine gold, diamonds and other germs pay only royalties and low wages but no corporate taxes. It makes no sense to me!

    Three decades ago, Batswanas were suffering exactly the kind of
    suffering Tanzanians are suffering now from Western investors. But when Botswana government saw its reserves dwindling, it knew it had to take further measures. It tightened its belt, pulled together-and got through the
    crisis.

    I suggest you do the same. Send your economic advisors to Botswana so they can learn more on this matter because the current state of mining industry in Tanzania is too exploitive to be allowed to go on.

    Also, you need to understand that the solution to energy crisis lies
    within Tanzanians. It's your responsibility as a president, to come up with realistic energy plan, and implement it for the benefit of the nation. Stieglers Gorge is still a good option.

    On East African Federation, I still see a lot of mistrust among the Citizens of the regional countries particularly in the issue of Immigration. I also see some criminal elements like open sores waiting to be turned into arrows of hatred. Intolerance. And for the new members, Burundi and Rwanda, ethnic strife is still my major concern.

    I, of course, more than anyone else, do want to see the Federation in its place. However, taking Tanzania into the federation at this time is
    nothing but echoing the old mistakes of 1977.

    Tanzania might be ready to join the Federation, but Kenya and Uganda are still struggling with their oldest problem, civil strife. Wakikuyu and Waluo. Wakaramajong and Bagisu.

    Young man, though I often disagree with you in many issues, I still
    care about you and Salma. And I sincere wish you good luck as you walk the long road to build bridges to a better future for all Tanzanians. And most of All, I wish you health and unfailing energy.

    Please don't forget to pass on my warmest greetings to Fidel. Tell him that I kindly wish him a full and speedy recovery.

    May God always bless Tanzania.
    Sincerely,
    Julius Nyerere
    __________________

    ReplyDelete
  7. Jamani Rahma hana makosa Ukraine hakuna kiingilish hua kuna milugha ya ajabu ile mbaya.Sio kosa lake.

    ReplyDelete
  8. Ahsanteni wadau kwa kunielewesha, maana sisi madaktari kuna majina mengine katika fani hizo huwa yanatuchanganya otherwise uwe mtu wa kujisomea sana nje ya fani yako. Hivyo ni kitu ambacho sikuwa naona aibu kutaja jina maana nakata kujifunza na siwezi kuficha hilo, kama kitu sijui ni bora niulize kuliko kujifanya najua halafu nikachemsha.

    Rahma (Ukraine)

    ReplyDelete
  9. Huyu ndie kiongozi wa juu tu TZS. Mzalendo, hana kashfa ya rushwa na hapendi ufisadi.

    ReplyDelete
  10. mtu akiuliza kitu aelekezwe tu hakuna haja ya kumshutumu kuwa hajui and blah and blah,,pfffffff

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...