juma nature na wanaume halisi wanaendelea na tua lao ambapo wikiendi hii walikuwa zenj na kuijaza ngome kongwe kama kawaida yao. hii ni baad ya kutesa sana huko mbeya na moro na

kung fu flex

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa jamaa wamekuja hapa, tumeishia kuambukizana UKIMWI tu. Maana ilikuwa shughuli kubwa sana hapa mjini, watoto wa Kizanzibari palikuwa hapatoshi kabisa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    wanaume hapo tunakamua kwa nguvu zote hakuna matani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...