Workers of the world, awaken!
Rise in all your splendid might
Take the wealth that you are making,
It belongs to you by right.
No one will for bread be crying
We'll have freedom, love and health,
When the grand red flag is flying
In the Workers' Commonwealth.
katika sehemu za kazi muajiri ana nafasi kubwa zaidi ya kuamua kama mazingira ya kazi yatakuwa ya amani na usawa.mwajiriwa ana nafasi kubwa zaidi ya kuamua kama uzalishaji utakuwa na ubora unaotarajiwa.kukiwa na ushirikiano mzuri kati ya makundi haya matokeo yake ni maendeleo ya kweli kwa pande zote.
nawatakia afya njema katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi.
Imani Kondo.

Imani Kondo, this is Amani Kitali (the previous Amani Jackson). Nice knowing you are visiting this site (and I am totally not making any response to what you said, even though I think it was great.). Meant to say, email me at amanijk@yahoo.com and we can keep in touch. Still in Hungary/ Croatia (well, I don't remember well where you are). Alright.
ReplyDeleteWee ndo Amani yupi vile? Nafikiri Imani yupo pale Prague, Czech. Classmate wenu mtukutu! Nafikiri mtanikumbuka tuuuuu. Navinjari hapa Dejvicka
ReplyDeletewewe dejvicka huyo unayemtania hapo juu ni mkweo,nitawatambulisha utacheka.huyo ni mdogo wake erick.amani i check you on mail.cheers,Imani.
ReplyDelete