
mkurugenzi wa aset da'asha baraka akitoa maelezo leo kuhusiana na shindano la kumsaka mwana wa twanga pepeta. shoto ni meneja wa bia ya safari lager mama helen sweya na kuume ni bosi wa manywele entertainemnt ambao ndo waandaaji. si vibaya kama utabofya hapa kupata muziki na habari kem kem za kibongo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...