bosi wa manywele entertainment akiongea na waandishi leo huku washiriki wa shindano la kimwana wa twanga pepeta wakisikiliza. shindano hili ambalo litahusisha kinadada 15 wataochuana ili kumpata bingwa wa kucheza twanga litafanyika ijumaa hii ubungo plaza na mshindi anaondoka na gari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2007

    ooh Perfect, ushakuwa boss ndugu yangu? hapy 4 u. nimekuona nikakumbuka zaoma ltd. tulivyokuwa tukichapa kazi pamoja. keep it up.

    g.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2007

    michuzi nimechoka,kuanzia leo mie ni adui yako,tukikutana njiani usinisalimie.hupost maoni yangu y?///

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...