habari zilizonifikia punde toka mexico kwenye mchuano wa miss universe zinasema mwakilishi wetu flaviana matata (pichani) amekuwa ni tishio kwa washiriki wengine na hivi tunavyoongea ameshika nafasi ya pili toka ya 8 katika mchakato wa awali wa kumsaka bingwa wa mwaka huu, nyuma ya miss venezuela. tumuombee afanye makubwa zaidi...kwa habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2007

    Kwa kweli nimependa binti alivyo! Mora akujalie ushinde na jina la nchi yetu lizidi kusikika!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2007

    Michuzi weka basi na hii link ili watu wavote.
    Nilikua sijui kuna vote nyingine zitakua zinahesabiwa kutokana kwa watu wakivote pia. Sasa hivi muangola anamzidi glavia...kwa hiyo tukijitahidi tutakua kidogo juu

    Tumfagilie dada yetu ashinde. Akishinda hata kidog basi Tanzania jina litazidi kusikika.

    Mungu ibariki Tanzania

    Vote people vote you can do it once a day I guess

    http://www.pageant-almanac.com/miss-universe/playoffs.php

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2007

    Yeah ni kweli hata mimi nimeona kwenye website yao kuwa Miss Tanzania ni tishio sana na watu wengi wanampenda huko Mexico na wameshatabiri kuwa anaweza kushinda Miss Universe Pageant kutokana na her natural Beauty.

    Mimi natabiri huyu dada atafika mbali sana kutokana na kwamba haya mashindano yanaonyeshwa kwenye nchi nyingi sana duniani na hapa Marekani yataonyeshwa LIVE kwenye NBC Television.

    Kitu kingine ni kwamba owner wa haya mashindano ni Mr.Misifa aka Donald Trump kwa hiyo publicity yake lazima itakuwa kubwa.

    Goodluck Flaviana na Watanzania wote wa hapa States na kwingineko kote tutatoa support yetu ili ushinde.

    Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2007

    Eti Tumwombee ashinde!!!

    Yaani sisi waswalihina twende Msikitini tumwombee Changudoa ashinde kwenye mashindano ya machangudoa?

    Michuzi huna haya tutatangutangazia Fatwa kama aliyotangaziwa Salmin Rushdie na Ayatollah wa Iran.

    ReplyDelete
  5. Jamani sijui mimi mshamba mbona hilo gauni linaonekana limepwaya au ndoo mamiss huvaa ivyo? alafu naona pia kazidi kuwa skiny... msinisonge ni maoni yangu tu

    Waridi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2007

    we unayejifanya msalihina, unaweka fikra potofu mbele! huna haya laanakum weye, au mtoto wa wenyewe weye, mbona hueleweki? oh shindano la machangu, umeambiwa hapo ni Ohio pale unapowaviziaga usiku au makaburini k'ndoni kwenye gesti yako juu ya makaburi, ukome! Limbukeni usiyejua dunia inaelekea wapi!badala uombee amani na ushindi wa nchi yako, unawaita watoto wa watu machangu! Asa unasali nini??

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2007

    Nitakusomea Alubadiri wewe mwanaharamu unayeniita laanakum.Tatizo nchi hii haina Kadhi angekuwepo wewe na Michuzi wako na huyo changudoa wenu alyeanika matiti nje mnayesema tumwombee mungejamba cheche maruhuni nyie.

    Wewe inawezekana ni Mkristo unayesali wima kama unakojoa na kuwafuata wakorintho au ni muislamu aliyeritadi.

    Kwa taarifa yako waislamu hatumezi maneno kwa muislamu Changudoa ni changudoa hatumezi maneno kama Papa Benedicto wa wakatoliki.Ukome kabisa.

    ReplyDelete
  8. Siku hizi hao Dark skin (ndivyo waafrika wanavyoitwa) models wamekuwa fashion katika matangazo hata kwenye TV commercials. Zamani wala wasingemjali.

    Nami naomba afike mbali. Huenda atabahatika kupta Modelling Contract hapa USA.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2007

    I hope hili gauni hakwenda nalo kwenye mashindano. Hili liko kama oversize vile.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2007

    Hivi dada Chemi huwezi kutoa hoja bila kuzungumzia rangi za watu? Nimeishi US tena jimbo lenye racism, na sasa naishi South kuna racism kwa kwenda mbele ila unavyokazia kila kitu unaweka racism mbele, dada huo mtazammo ni hasi mno, fungua macho yako uone pengine si wao wabaguzi bali wewe unashiriki kujibagua kwa fikra zilizo ndani ya bongo lako.Hatupaswi kuendekeza urangi kiasi hicho tunachotakiwa ni kutafuta opportunity na kuzitumia kwa bidii na akili kwa kiwango kikubwa kama mtu mwingine wa rangi nyingine angelivyofanya. Na kumbuka waafrika tunaweza na tumebarikiwa akili, than you can imagine suala ni kufanya bidii na kuweka standard ambayo itawafanya wakuheshimu, I beg you to spot that attitude!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...