
hii ni postikadi ya tamasha la sauti za busara mwaka ujao ambapo tayari waandaaji wake wameshatuma mialiko kwa wasanii na vikundi toka kila sehemu dunia kuja kushiriki mwezi wa februari mwaka 2008. wasanii wa kibongo na wahirika wenu mlio ughaibuni mnakaribishwa kwa mikono miwili kuja kushiriki kwa habari zaidi
Ninajua fika kuwa hapa si mahala pake lakini nina manung`uniko kiasi kwa bwana michuzi,mbona watu tunakutumia habari na wewe huzibandiki/post hapa kwanye blog au hiyo issamichuzi@gmail.com ni pambo tuu au una watu maalum wa kukutumia sie wengine ndio hatutakiwi,basi chagua na watu wa kupitia blog yako ka ndio hivyo!!
ReplyDeleteAisei, nitajihidi kufika! Pia nafahamu washabiki wa Taarab, tena wazungu hapa USA, ambao lazima watafika huko! Itakuwa safi sana! bora tumejulishwa mapema.
ReplyDelete