Home
Unlabelled
furaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera zenu waandaji wa sinema hiyo nafaahamu ni mazingira magumu sana ya utengenezaji video kama hiyo kwa tanzania najua kuna mambo ya permits za locations ,logistics ,cast and crew (malipo), equipments,chalula,special effects,costumes,makeups,stunts,cordination ya traffic(extras),postproduction na distribution nk kuna vingi tuu ambavyo ninajua wameteseka sana mpaka kufikia hapao .hakaika nawapa hongera zenu nafahamu ya kwamaba hiyo sinema ni video lkn najua kazi mmeifanya poleni sas mtuletee basi nasi tuliopo ughaibuni tuione halafu tuwaambie maoni yetu
ReplyDeletepremier screening:
inasitikitisha kweli nyumbani kwamba hakuna facilties za kitheater za kuproject video (high au hata average resolution ) ktk big screen siamini kwamba onyesha namaber moja au onyesho kuu ndio linaonyeshwa ktk screen ya nyumbani probably inch 30 jamani wawekezaji wenye mapesa yenu angalieni hilo eneo basi sababu hivi sasa indusry ndio inaanza kujijenga -projection facilities please!!!!!!
Raceisnobar Media Co
Wewe annoy hapo juu wacha ushamba. Watu wanajikuna mkono unapofikia. Mambo ya kuwasema screen sijui nini ni ndogo. Ndio nyie nyie hamna jema. Wamejitahidi wametengeneza movie. Na wewe ukirudi bongo shusha thieter yako ya screen premier. Wangekua nayo wangetumia ...sasa hawana wakaibe??
ReplyDeleteJamani tuwape credits ndugu zetu wanajitahidi sana tu ukizingatia mazingira ya nchi yetu.
Kila kitu mpaka mfananishe na nchi za ughaibuni. Mnajua TZ ni one of the pooorest country in the world. Kwa hiyo hayo tunayofanya ni kutokana na jinsi ya uwezo wetu. Na tunajitahidi sana tu
Big up watengenezaji wa sinema hii.
Nyie Ma-anon wawili wa kwanza hapo juu sijui mara ya mwisho mmekanyaga lini Bongo, ila ni kwamba kuna Cine 4 za nguvu bongo (kiwango cha kimataifa). Mbili ziko pale New World Cinema (mbele kidogo ya Mwenge kama unaenda Posta), na zingine mbili pale complex mpya ya Mlimani City (njia panda ya Chuo upande wa Mwenge).
ReplyDeleteKwa kweli hawa jamaa sijui ni uchizi gani mpaka wameamua kuzindua cinema kwa TV screen!!! Nawapongeza kwa kazi ya kutengeneza cinema lakini uzinduzi kwa kweli sijui walikuwa na matatizo gani (sidhani kama ni bajeti, manaake kumbi zenyewe wala hata hazijai kama mtu anajua kunegotiate atapata kwa bei poa tu)
Hii ndio Premier Theater? sasa ndugu waliokaa nyuma wanaona kweli kwenye hii luninga? Weka BIG SCREEN kama Anonymous hapo juu alivyosema hii sio Theater ni kichekesho.
ReplyDeleteHapa wote hamjui mnachokiongea, Hiyo small screen ilikuwa tu ni kumpa mgeni rasmi nafasi ya kufanya kitendo cha uzinduzi kwa ku-play dvd ya kwanza ya simu ya kifo, baada ya hapo movie ilionyeshwa kwenye big screen just like when you go to any movie theatre...mimi nilikuwepo kwenye uzinduzi
ReplyDelete