waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatibu, prodyuza dorothy kipeja na mtunzi faraji h.h. katalambula wakifurahia uzinduzi wa simu ya kifo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2007

    hongera zenu waandaji wa sinema hiyo nafaahamu ni mazingira magumu sana ya utengenezaji video kama hiyo kwa tanzania najua kuna mambo ya permits za locations ,logistics ,cast and crew (malipo), equipments,chalula,special effects,costumes,makeups,stunts,cordination ya traffic(extras),postproduction na distribution nk kuna vingi tuu ambavyo ninajua wameteseka sana mpaka kufikia hapao .hakaika nawapa hongera zenu nafahamu ya kwamaba hiyo sinema ni video lkn najua kazi mmeifanya poleni sas mtuletee basi nasi tuliopo ughaibuni tuione halafu tuwaambie maoni yetu
    premier screening:
    inasitikitisha kweli nyumbani kwamba hakuna facilties za kitheater za kuproject video (high au hata average resolution ) ktk big screen siamini kwamba onyesha namaber moja au onyesho kuu ndio linaonyeshwa ktk screen ya nyumbani probably inch 30 jamani wawekezaji wenye mapesa yenu angalieni hilo eneo basi sababu hivi sasa indusry ndio inaanza kujijenga -projection facilities please!!!!!!
    Raceisnobar Media Co

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Wewe annoy hapo juu wacha ushamba. Watu wanajikuna mkono unapofikia. Mambo ya kuwasema screen sijui nini ni ndogo. Ndio nyie nyie hamna jema. Wamejitahidi wametengeneza movie. Na wewe ukirudi bongo shusha thieter yako ya screen premier. Wangekua nayo wangetumia ...sasa hawana wakaibe??
    Jamani tuwape credits ndugu zetu wanajitahidi sana tu ukizingatia mazingira ya nchi yetu.
    Kila kitu mpaka mfananishe na nchi za ughaibuni. Mnajua TZ ni one of the pooorest country in the world. Kwa hiyo hayo tunayofanya ni kutokana na jinsi ya uwezo wetu. Na tunajitahidi sana tu

    Big up watengenezaji wa sinema hii.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Nyie Ma-anon wawili wa kwanza hapo juu sijui mara ya mwisho mmekanyaga lini Bongo, ila ni kwamba kuna Cine 4 za nguvu bongo (kiwango cha kimataifa). Mbili ziko pale New World Cinema (mbele kidogo ya Mwenge kama unaenda Posta), na zingine mbili pale complex mpya ya Mlimani City (njia panda ya Chuo upande wa Mwenge).

    Kwa kweli hawa jamaa sijui ni uchizi gani mpaka wameamua kuzindua cinema kwa TV screen!!! Nawapongeza kwa kazi ya kutengeneza cinema lakini uzinduzi kwa kweli sijui walikuwa na matatizo gani (sidhani kama ni bajeti, manaake kumbi zenyewe wala hata hazijai kama mtu anajua kunegotiate atapata kwa bei poa tu)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    Hii ndio Premier Theater? sasa ndugu waliokaa nyuma wanaona kweli kwenye hii luninga? Weka BIG SCREEN kama Anonymous hapo juu alivyosema hii sio Theater ni kichekesho.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2007

    Hapa wote hamjui mnachokiongea, Hiyo small screen ilikuwa tu ni kumpa mgeni rasmi nafasi ya kufanya kitendo cha uzinduzi kwa ku-play dvd ya kwanza ya simu ya kifo, baada ya hapo movie ilionyeshwa kwenye big screen just like when you go to any movie theatre...mimi nilikuwepo kwenye uzinduzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...