Home
Unlabelled
hasheem
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mademu wa kibongo umewapa taarifa mapema..I mean wale teenagers na in their early 20s, watajibamizaaaaaaaa.
ReplyDeleteAngalia baba, watoto wa age hiyo washatandikwa sana na vijana wa town kwenye mzunguko uleule unaosemekana una virusi vikali kuliko chachandu ya mbilimbili na pilipili!
Pumzika kwa akili..Bongo hii sio ya miaka ile.Ohoooo!
Hivi hii blog imekosa cha kuandika mpaka utueleze hayo. JK ataenda kumpokea.
ReplyDeletena mi nikija nitundike humu watu wanipokee
Dogo angalia mishankupe ya Bongo ina ngoma yote hiyo !!
ReplyDeleteOhoo usije ukatengeneza snema !
Unaenda kumpokea?
ReplyDeleteNdugu yangu acha lawama zisizokuwa na maana, Hasheem sasa hivi ni celebrity,lazima tujue habari zake, Mungu akipitisha baraka zake na jamaa kufanikiwa kuingia NBA sehemu yoyote jamaa akitokea, I mean nchi yoyote ile wapenzi wa basketball watapenda kumuona, akivua jezi iliyolowa jasho baada ya game watu wataigombania. Inshaalah mambo yake yatakwenda vizuri na kufanikiwa kuingia NBA.
ReplyDeleteSasa kama kaja mapumziko sisi tufanyaje?kwanza yeye ni nani?Hebu toa takataka hiyo michuzi,mbona unapenda sifa sana wewe?Au umeletewa Tshirt na hii ndio shukrani yako?Jiheshimu Michuzi,umaskini wako usikufanye kuwa mtumwa
ReplyDeleteEbana michuzi huyu muungwana unamfatlia kweli unamfatilia kuliko hata Jk ..yani kama vile huna picha za kuweka kila siku unamtoa huyu huyu wee utamharibia sasa duh
ReplyDeleteBinafsi ninafuatilia sana habari za huyo jamaa,nimekuwa nikiangalia College basketball kwa ajili yake, pia nafuatilia mabo yake yanavyokwenda kuhusiana na NBA draft. Habari zake akiwa nyumbani tunategemea kuzipata kutoka kwa Michuzi. Unajua hata Larry King of CNN's Larry King Live, huwa anapata lawama kama hizo kwa kuwa hana aina moja ya watu anao wa-interview,leo anakuwa na Politician kesho Musician, Athlete ext, the same kwa Michuzi leo anatuletea Kikwete, kesho Twanga pepeta, Mpakanjia and Amina Chifupa, Hasheem na wengine. Lawama zitazidi kujitokeza. The bottom line is Michuzi keep doing what you're doing, you're good.
ReplyDeleteMichuzi na wewe. Sijui umekosa la kuweka.
ReplyDeleteKwanza mtamuwekea uchuro huyu jamaa. Bado hajaenda kwenye NBA mnamsonga saaana. Na asipoingia kwenye NBA utamfagilia hivi au ndio utam dump kwenye gunia. Mind umri wake na NBA ni clock ticking.
Au ni yeye mwenyewe anapenda publicity ...yeye Michuzi aliyajua wapi haya kama hamna mtu wa karibu aliyemweleza anakwenda? Kama ni wewe Hasheem umetaka uwekwe huku ....slow down ...... utakuja jiona mjinga baadaye au huna advicer mzuri bado? Weka mambo yako kimya na kama ni mazuri yatajitokeza yenyewe.
Acheni kumfagilia huyo Dogo kwanza mnampa kichwa bure manake ile ligi ya wanavyuo alichemsha sana ndio maana kocha akawa hampangi kabisa na inabidi ajitahidi asidhani kesha fanikiwa manake akifanya mchezo itabidi wamteme na ile ndoto ya kuweza kuwa draft kwa ajili ya NBA huyu dogo ni bado sana.
ReplyDeleteHIVI HUYU HASHEEM AKIWEKWA HAPA ANAKERA WATU KITU GANI? WABONGO KWA CHUKI NA WIVU TU HATUJAMBO. AKIWEKWA J.D WATU WANANUNA, AKITOKEA KIKWETE WANAZIMIA, AKIONEKANA MAXIMO WANAFURA; SASA AWEKWE NANI HAPA? NDUGU ZENU? WAKE ZENU? WAUME ZENU?
ReplyDeleteNAHISI NI CHUKI NA WIVU TU UNATUSUMBUA. HUYU HASHEEM ANA JINA KULIKO WAKAA GHETTO WENGI NA HABEBI BOX ILI KUISHI, LABDA NDIYO SABABU WATU WANAVIMBISHA MASHAVU YAO HAPA.
KAMA HUPENDI AFANYALO MICHUZI NI HERI USIINGIE "NYUMBANI KWAKE". NA KAMA VIPI JENGA "NYUMBA YAKO" MWENYEWE, SIO "MGONGO MKUBWA" CHOO KWA JIRANI!
Tumieni akili jamani HUYU NI MTOTO WA MICHUZI. Huoni walivyo fanana?? Jamaa alimzaa nje ya ndo ila anaogopa soooo
ReplyDeleteKIKOTI UNA AKILI KAMA NINI YAANI UNGEZALIWA ZAMANI LAZIMA UNGEKUWA NYERERE WA TZ. WELL WATU WANAOMSAGIA KIJANA NI WIVU NA CHUKI BINAFSI TUU. TENA MISHENZI HIYO INALAUMU KILA KITU KINACHOWEKWA NA MICHUZI HUMU NDANI.. SHENZI KABISA .. HIVI NYIE PIMBI SI MLISHAAMBIWA KUWA HII NI PERSONAL DIARY YA MICHUZI NA SISI SOTE NI WAGENI TUU NA HATULAZIMISHWI KUANGALIA NA KUTOA MAONI YOYOTE SO KAMA WEWE HUTAKI MACELEBRITY WETU WAWEKWE HUKU SHAURI LAKO... FOR YOUR INFO HASHEEM NDO KESHAUKWAA UCELEBRITY WEWE BEBA MABOX TUU NA UKOME KURINGA..
ReplyDeleteMICHUZI WEKA KILA KITU KINACHOWAHUSU WATU WETU MASTAR WA MOVIE, BONGO FLEVA, WATU WENYE VIPAJI VYAO KAMA AKINA HASHEEM NK... WEKA KILA KITU ILI WATU TUJUE MACELEBRITY WETU.. WAKATA VIUNO... MNANDA NA KILA KITU ........ HII BLOGU NI KUELIMISHA NA KUFURAHISHA NA MAJUNGU HAMNA NOMA WALA NINI.. NA KAMA HUAMINI MAJUNGU NDIO YANAYOLETA COMMENTS NYINGIIII.... SO WANAOJITIA WANATAKA MAMBO YA MAENDELEO TUU WATAFUTE BLOGU ZA POLITICS...BABAKEEEE
TENA MSISHANGAE SIKU MOJA MKO NAE NDEGENI WANATANGASWA RASMI ,.... TUPO NA .... WA PAZI HAHHAAAA GO BOY GOOOOO!!
Nadhani Michuzi kazi Daily news kwa summer yote atasamehe. Atamfuata kila kona anayoenda kama yule mdau wa Canada alivyoshuka bongo. Hata kama ni diary yake lakini ukishaput vitu kwenye public mind the readers too.
ReplyDeleteUtu wa mtu ni utu.
Hamna cha wivu wala nini huyu kijana kila mtu anamwombea kwa mwenyenzi Mungu ili mambo yake yaende vizuri. Lakini kuna mambo mengine ya kuelezea habari za watu na kuna saa nyingine naona Michuzi anachemsha tu.
Huyo jamaa hapo juu ana akili ndogo....hata sijui ana elimu gani!Amejaa jazba,utumbo anao ongea anaujua mwenyewe.Michuzi anategemea habari kutoka kwa watu...si kila kitu humu ni habari binafsi ya Michuzi.Ameshawahi kukiri kwamba blog hii si yake....ni yetu sote.
ReplyDeleteoyaaa
ReplyDeleteLAKINI HUYO DOGO BADO HAJAWA STAR MBONA WATU WANAACHA SHUGHULI ZAO KWA MTU AMBAYE HAJAFANIKIWA NA BADO ANATAFUTA, SASA HAO WAKONGO WASEMEJE KWA WAKINA DIKIMBE MUTOMBO? SIO WIVU ILA BADO SAFARI YAKE NDEFU!!
ReplyDeleteAma kweli wabongo wako nyuma sana au niseme wivu tu. Sasa wameshaona Hasheem amekuwa popular sasa wao wasio na kazi wanaanza kumnanga Bwana Michuzi. Michuzi wewe tuletee habari tu, hata ikiwa Kikwete ataenda kumpokea hawa watu wanaona tabu gani? Hasheem anailetea nchi sifa akiwa huko ughaibuni, kwa njia moja ama ingine yeye kama Hasheem ameinuka kiuchumi. Hawa watu wamekaa tu kuandika vitu vya ajabu nafikiri hata mambo yanayoendelea huku Duniani hawaelewi.
ReplyDeleteBahati mbaya kuna baadhi ya Watanzania hawaeleweki, yaani wanakera. Kuingia hapa ni kipenda roho, mwenye blog hii anaweka anacho penda sasa wengine sijui kinawasumbua nini?!
ReplyDeleteSasa mtu anijibu Hasheem kafanya nini baya hapo yaani kusema tu anakuja home? mtoto wa watu akiwekwe hapa yalaaa anavyo tukanwa mpaka nashindwa elewa, bado kijana sana na anajitahidi kwa namna yake na Mungu atambariki afike mbali. Nie mnao kashfu semeni basi vyenu vya maana mnavyo fanya mwambieni Issa aweke hapa mbona yeye huwa hamkatalii mtu?!
Thanks God, Mungu hatumwoni uso kwa uso la sivyo na wivu wenu huo wengine wangesha mhonga ili awakatalie wengine mafanikio. Nie wenye chuki na wivu kwa wengine inaelekea mambo yaana waendea mrama. Yaani bado hamjaelewa siri ya kufanikiwa ni kuwa na roho safi?
Mungu ibariki Tanzania, viongozi na watanzania wenye roho nzuri! wale wenye roho mbaya ya chuki, wivu, uhasama, Mungu watumie Roho mtakatifu awabadilishe! Kila dini (hata wapagani) ina hubiri UPENDO!
Waridi
WATU WENGINE MNAJITIA AIBU WENYEWE KWA KUSEMA KUWA KAMA HASHIM (BIG UP) ANARUDI BONGO KWA AJILI YA LIKIZO YA MUDA MFUPI NDIO NINI? UNAJUA HATUA ALIYOFIKIA HUYO KIJANA NO BODY AND I MEAN NOBODY IN EAST AFRICA HAVE REACH IN THAT STAGE HIVYO INABIDI KUMANGALIA KAMA ONE OF ROLE MODEL WA TANZANIA KWA SABABU WATU KIBAO DUNIANI HAWAIJUI TANZANIA KAMA UNAVYOFIKIRIA. KAMA ATAWEZA KUCHAGULIWA KWENDA NBA KAMA UNAJUA BASKET BALL BASI WATU WENGI WATAANZA KUIFUATILIA NCHI YETU. USIWE NA USEME WA ABUNUWASI KWAMBA ALIE JUU MNGOJE CHINI WATU SIKU HIZI WANAKWENDA HUKO HUKO JUU. WAKE UP PUMBUWAZI WE.BE PROUD OF THAT GUY AT LEAST FOR THE MOMMENT, STOP KIKOLOSHO.
ReplyDelete