hasheem thabeet anazidi kupaa ulimwenguni. bofya hapa ujue sababu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2007

    Michuzi, hivi yule Mrembo uliyemwekaga hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2007/01/mrembo-edna-audax-muda-mfupi-kabla-ya.html ALIISHIA WAPI??? Hebu tupatie data zake huko alikokwenda kuwakilisha, manaake ile staili yake ya kuondoka tu ilikuwa balaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    Michuzi, hivi yule Mrembo uliyemwekaga hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2007/01/mrembo-edna-audax-muda-mfupi-kabla-ya.html ALIISHIA WAPI??? Hebu tupatie data zake huko alikokwenda kuwakilisha, manaake ile staili yake ya kuondoka tu ilikuwa balaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    Safi sana Hasheem, na nyumbani unakumbuka sio mijitu imekaa majuu miaka nenda rudi haina hata nauli ya kuja kusalimia ndugu zao.Hivi ina nini hii mijitu? Huu ndo uzalendo na mfano wa kuigwa. Safi sana.

    ReplyDelete
  4. Duh huyu jamaa yuko katika list ya famousheights.com ......

    ReplyDelete
  5. Okay amerudi kusali amepeleka maendeleo gani nyumbani?Wewe unaelewa wanaomdhamini nauli?What did he accomplish in his community tell us please?Who told you that,some people does not have money to travel back home?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2007

    Unayeita watu mijitu acha wivu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2007

    Sasa kama nauli mnazo mbona amuendi bongo??????

    mmeoza nini?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2007

    Wewe kama una miss wa kwenu sana walio ughaibuni panda ndege nenda kawa salimie. Mbona watu wengi wanatoka vijijini kuja Dar kusalimia kila siku? Na wewe panda tank nenda kamsalimu unaye mmiss sana huko aliko kama hataki kuja nyumbani.

    Wewe ni nani kuwaita watu mijitu?

    Ni mume, mke au mchumba alikuacha hapa bongo na mtoto solemba na hajarudi tena mpaka leo?

    Unaonekana una hasira sana.

    Mtu akija bongo asipokuja wewe hasira ya nini na kuwaita watu wenye heshima zao wanaotafuta maisha MAJITU ni ujinga.

    Si ajabu huna hata ndugu mmoja nje ya nchi. Lakini ni gubu tu limekujaa.

    Wewe hujui huyu kijana anasomeshwa na nani. Au nani anainverst kwake sasa hivi baada ya kuona umuhimu wake? Au kama serikali yetu imeshaamua kumsaidia ili azidi kusoma na kukeep career yake. Wewe unajua hayo?

    Katoa wapi hela ya kuja bongo wakati kwenye internet gazeti la shule yake Coach wake alikua anaelezea financial hardship yake na hawajui jinsi atakavyorudi shule kusoma tena?

    Na mimi ninachojua kuja bongo kwa wengi wao wala sio hata nauli ila ni uwezo wa kutoka nu kuingia tena nchi wanazoishi. Kwani ni siri au la ajabu lipi? Mimi ninawafahamu watu wengi tu wanaheshima zao na wana maisha yao mazuri tu huko na familia zao huko. Sasa unataka waje hapa bongo wafanye nini? Kama wana maisha mazuri tu zaidi ya jinsi wangeishi hapa na wanatunza watoto wao vizuri tu na kila mwaka wanatuma tickets kwa ndugu zao wa karibu waende kuwasalimu wewe shida yako iko wapi? Wasipokuja wakija hiyo ni juu yao.

    Hamna la ajabu mtu akiwa natafuta maisha kwake na familia yake.

    Tuache wivu na gubu watanzania tumezidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...