jide akitumbuiza jana usiku huko tokyo. hapo anaungwa mkono na balozi elly mtango (kulia) na mkewe. mwenye drafti ni mmoja wa waandaaji wa ujio wa jide, willy wa wilna international

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2007

    Michu ulipaswa kusema WENDEO, Badala ya UJIO kwani wewe haupo TOKYO. Ila kama nawe upo Tokyo basi uko sahihi, ila kama bongo Ingependeza useme WENDEO, Teh teh teh, Kiswhili lugha yetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Uliyemsahihisha michuzi umekosea kuandika neno Kiswahili.Haliandikwi hivyo.Lugha yetu iandike vizuri na wewe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Na wewe umekosea kuunganisha kituo kikubwa(.) na Lugha ulitakiwa kuacha nafasi yaani . Lugha

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    haya malumbano ndio yananifanya nirudi kila siku kwa michuzi...

    Watu kukosoana tu....mie nikisoma hizi comments kila siku sina mbavu.

    Michuzi thanks so much kwasababu hii blog yako ingawaje tunatafuta maisha kwenye nchi zenye stress lakini pressure hatuna kabisa...Naona nii hii blog yako inatusaidia tu cool off after a long day of work and skulling

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...