mwenyekiti wa kamati ya mahesabu ya serikali bunge la kenya mh. uhuru kenyatta akiagana na mwenyekiti wa kamati hiyo bunge la bongo mh. john cheyo leo ikiwa siku ya mwisho ya mkutano wa siku tatu wa uwajibikaji kwenye matumizi na mapato ya pesa za umma ulofanyika ubungo plaza. kati ni mh. chrisant mzindakaya
Home
Unlabelled
kenyatta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DUH! huyo Uhuru kafanana kweli na marehemu baba yake Mzee Jommo Kenyatta!
ReplyDeleteTuwape pole watani wetu wa jadi. Hiyo ndege iliyoanguka huko cameroon na inasadikiwa kuwa hamna abiria aliye hai na abiria ni kutoka nchi 23 za ulimwenguni.
ReplyDeleteMungu awalinde na kuwapa nguvu katika kipindi hiki kigumu.