Home
Unlabelled
kinondoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh xul yangu yangu hiyo...mwalim hashim...uko wp?
ReplyDeleteNamna Hii Misupu Unatukumbusha Vingi ..Fanya Fanya Na American Chips,Macheni Pitapita nako
ReplyDeleteNimesoma hapo enzi ya miaka ya sabini wakati Kinondoni Muslim ilikuwa Kinondoni muslim kweli kweli, nakumbuka wanfunzi maarufu walikuwa marehemu Marijani Rajabu kabla hajahamia Tambaza, Robert Katura, Edward Kirumbi, Thomas Mtandu, Peter Wangwe, Yunus, Mehboob Dossa, Makamanda wa TPDF kama Col. Kakiziba, Col. Chipeta wamesoma hapo. Prof. Mikidadi alikuwa mwalimu wa kiswahili. Thanks Michuzi for the good old memories.
ReplyDeleteTuwekee chama letu TAMBAZA!!!
ReplyDeleteDuh hii kali wangu Nimesoma hapa Enzi aza akina Mwalimu Hoya, Mwalimu Sharifu, Kabitulila, Mwalimu Lihangwike, Mwl. Januwara, Mruma hahahah si mchezo, Tambaza hawana kitu michuzi tuliwachapa enzi Kinondoni Kinondoni kweli kaka!!
ReplyDeleteMichuzi usisahau chama kubwa Azania (Aza Boy)
ReplyDeleteNawakumbuka sana Mwl. Shariff, Mwl. Deo, Hegga enzi hizo mwishoni mwa miaka ya tisini kaka mkuu alikuwa Ustadh Jamil Salum Abdallah Poli. Washkaji zangu wa karibu sana miongoni mwao alikuwa Adam Juma [Visual Lab - Next Level], Producer Jumaa [Mawingu Studio]. Kutokea hapo hapo shuleni nilikuwa mshindi wa insha inayohusu UKIMWI iliyoandaliwa na UNAIDS na TAYOA. Na mengine mengi mazuri sana kuhusus shule hii.
ReplyDeletenaomba kuwasilisha
kama ni hivyo basi na sisi wa pugu sekondari tukumbukwe au?
ReplyDeleteShukran Bwana Michuzi, kwa waliomaliza 1974 Kinondoni naomba tuwasiliane kwani muda umekwenda sana. Ahsante
ReplyDelete