Home
Unlabelled
klynn
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jirani,
ReplyDeleteBinti kapendeza, pozi poa sana, background iko sawa .. mzee kiti hicho kiko out of place fanya bidii japo polish, naomba kuwasilisha. cheers, Jirani yako.
she is cute.. keep do ya ting klyn
ReplyDeleteMtoto huyu mrembo sana nataka kumchumbia maana siku nyingi namzimia kaka mich tafadhari nipatie mawasiliano naye.
ReplyDeletehata mimi nilitaka kuzungumzia hicho kiti juu kaniwahi hicho kiti soi kizuri tafuta kingine colorless tafuta stuli ya glass au mpingo mzuri yaani iwe mti tupu isiwe na hio siti.otherwise kila kitu poa
ReplyDeletehaka katoto kanavutia,kan mvuto wa pekee!
ReplyDeleteyeah hiyo stuli noma imeharibu kila kitu, jamani vitu vidogo vidogo kama hivi vinabadilisha kila kitu, pay attention to details wajameni!
ReplyDeleteMiss Klyn na sisi wa huku NJ tutapata wapi CD yako????Since nyie mnaenda sana UK. Ziuzeni hizo CD basi Stern's Music. (google it)
ReplyDeleteMwana Dada una "package" to sell. You have the "IT" factor. Great songs too.
Huyu mwanamke naye yuko fit kila mahali. Ni mzuri kwa kisi chake.
ReplyDeleteIla naye hii picha kaipiga wapi tena!? Michuzi umemuuza mwenzako bila sababu kwa kumuweka juu ya kiti cha kizamani.
pheeww! mnh, haki ya mungu. Haya! mashaaallahu, fahari ya macho haifilisi duka! Haki yake ulipoutwaa u miss Tanzania. KAZIDI PENDEZA!!
ReplyDeletedah sina la kusema, mtoto bomba sana
ReplyDeletesweety honey k-lynn, honey wewe ndo queen wa bongo,unaniacha hoi bin taaban.mawazo yangu yote yako juu yake huku ughaibuni. nitafurahi ukiwa wangu k-lynn achana na kina kinje boy wababaishaji tu hao na wahuni.njoo kwangu baby, nionapo picha zako na video clips zako unanimaliza na kunifanya nijisikiye juu katika hii dunia mummy njoo kwangu mimi mkweli.
ReplyDeletemichu pitisha salaam hizo please mjumbe hawawi au mwambiye asome message hii sawa.
SILENT STALKER says.....Mashallah!!!
ReplyDeleteSir Issa KWA MARA NYINGI UNAONYESHA UZOEFU WAKO..BINTI MZURI ANAVUUTIA..INAELEKEA POTABO HUYU....NIMEAMINI MOJA YA KAZI YA STULI NIKUKALIA...
ReplyDeleteDah hata sina la kusema yaani she is georgeous like hell kama alivyosema anonymous hapo juu kuwa nice backgroud pozi safi ila hiyo stuli angetafuta iliyopigwa polish kidogo
ReplyDeleteMiguu ya kistuli na miguu ya KLynn imefanana
ReplyDeleteHAKIKA ANONYMOUS...MTOTO KATOKA MSWANO MIE KWA MAPOZI NAMKUBALI K NA KIMAVAZI AAAA she is a diva hakuna ubishi....ILA kweli hiko kistuli mm!! (SIO KIIVYO)...KAKA MICHUZI NAOMBA UKIEDIT PLZZZ
ReplyDeletena hii picha nimeshaiiba..... NI TAARIFA TU!!
mh jamani my pwaaa umeshaiba picha mara hiii....hahaha kweli namekubaliana na wewe she is always lukin gorgeous ila hicho kistuli haha sio kihivyoooooo kabisa, kama vp michuzi peleka photo point wakaiweke kwenye adobe tu na wakibadilishe rangi.
ReplyDeletehiyo stool aliyokalia jamani, du find something more appealing lady
ReplyDeletenyie wote mnaokandia kistuli washamba hata mwenyewe beauty aliokalia kakiona poa hamjui picha kwani hiyo sio album cover na pia hamjauliza kwanini kapigia hapo mnaropoka hivi mnadhani kila mtu zuzu kama nyie??isitoshe u wapi msahafu wa kupiga picha kiasi cha nyie mjifanye mnajua!!tumeni zenu tuzione,
ReplyDeleteThe beauty is in the eye of beholder
Nakumbuka hata maneno ya remi yasemayo
Baba yako anayo ???
labda kigoda!
nyie wote mnaokandia kistuli washamba hata mwenyewe beauty aliokalia kakiona poa hamjui picha kwani hiyo sio album cover na pia hamjauliza kwanini kapigia hapo mnaropoka hivi mnadhani kila mtu zuzu kama nyie??isitoshe u wapi msahafu wa kupiga picha kiasi cha nyie mjifanye mnajua!!tumeni zenu tuzione,
ReplyDeleteThe beauty is in the eye of beholder
Nakumbuka hata maneno ya remi yasemayo
Baba yako anayo ???
labda kigoda!
DERRICK MUSHOBOZI gojazi laiki hell? is that supposed to be a compliment or what?
ReplyDeleteHuyu Derrick Mushobozi mtu wa kujipendekeza, hajawahi toa comment akawa critical, yaani kote si kwa Michuzi au kwa Haki, mh, au ni fomu one tunamuonea, maana yawezekana si mtu mzima. Ni vizuri lakini kuwa na watu wa hivi katika jamii
ReplyDeletekistuli hiko doa kubwa sana, anyways tafuta mume uolewe, piga shule uachane na ujinga wa bongo flava ulishapata umaarufu wa kutosha
ReplyDeleteusilewe na urembo warembo wanazaliwa kila siku
Huyu binti ni Mzuri, na hii picha imependeza sana. Tena kama atakuwa alikuwa pekupeku basi hii picha ni nzuri. Kuhusu Kistuli hicho mimi naona ndo chenyewe haswa, kwani ni Kibaya, afu ukilinganisha na uzuri wake na miguu yake imeleta contrast nzuri katika picha.
ReplyDeleteNahisi angekuwa amekalia kistuli kizuri hii picha isingekuwa unique, kwani ingefanana na zile picha tunazoziona kila siku za warembo wa ughaibuni, lakini this one is fab.
hicho kistuli kimetulia katika uzuri wa huyu dada.
ANONYMOUS wa WEDNESDAY MAY 02,2007 6:57:00PM
ReplyDeleteWewe umeingia humu kutoa maoni ya kitu kilichowekwa au kuanza kuongelea watu ndio mbona sisi wabongo tunakuwa washenzi sana maana huyo DERRICK mlivyomuandama utafikiri mmeambiwa kuwa yeye ndiyo topic hapa kama unaingia ingia kimpango wako na siyo kuingia humu halafu unaanza kujadili huyu yuko hivi mara yuko vile acha umbea utafikiri mwanamke bwana maana kila nikiingia humu kuchangia nakuta tu comment za kuwadiss watu badala ya kuchangia vitu vilivyo kwenye blog mnakimbilia kuongelea watu huo ni ukosefu wa akili na mnaonekana wajinga tu
Jamani kuna warefu wafupi, weusi weupe, wanene wembamba, wabaya wazuri, akili tofauti, mawazo tofauti, kila mtu kivyake basi mwacheni derrick kila mtu ana principal zake. Kama anataka fagilia kila kitu shida yenu nini?
ReplyDeletembona mtu hakatazwi kuandika apendacho?! au kuna mtu derrick ulim dump sasa ana kushupalia hivyo lol! check your contacts man!
Waridi
Hatukumdhihaki Derrick, angalia maoni aliyotoa kuhusu TAHLISO sasa hivi, yana mantinki, ameanza kuwa critical, nikirudi nakupa link kama 10 at random, uone comment zake alizowahi toa, utatu support tu kuwa, ni mtu mzuri sana Derrick
ReplyDeleteJameni kila mtu na kazi yake naona sasa huyu Derrick ameishakuwa kigezo jamani tunaomba ukiingia humu changia basi ulichokuta sio kuanza kuchangia kuhusu watu wanaotoa comment zao kwani mtu akitoa comment it doesnt matter kwani wewe hizo comment zake zinaku affect wewe kivipi,kila mtu anaingia humu kwa mpango wake na kwa mawazo yake kwahiyo kinachoongelewa na kila mtu humu ni kutukona na mawazo yake mimi nashangaa sana kukuta watu wanamzungumzia huyu Derrick utafikiri kama vile alichukua mke wa mtu fanya kilicho kuleta humu au kama vipi piga chini angalia mambo yako sio kuanza kuzungumza behind peoples back au kuna jambo haiwezekani mtu kila ukiingia anazungumziwa yeye tu badala ya watu kuchangia mada iliyomo humu
ReplyDeleteANONYMOUS WEDNESDAY MAY 02 2007 11:26:00PM changia kilichokuleta humu ndani na sio kuanza kuzungumzia watu wengine au kama umekosa cha kuongea ni bora ukaacha maana naona badala ya kuchangia wewe ume base tu kwa kumfuatilia mtu mmoja mimi nashangaa sana wabongo ndio maana hata tukiulizwa maswali na sisi tunauliza badala ya kujibu wewe mtu mwingine anakuhusu nini au wewe kinauuma nini umeingia umekuta kuna picha toa maoni kuhus hiyo picha na siyo kuanza kukaa na kupiga majungu kuhusu wengine unaboa tena nyie ndio wale kazi zenu ni kuzungumzia maisha ya watu badala ya kufanya mambo yenu
ReplyDelete