Home
Unlabelled
kitabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa mtindo huu tutaelewana.Filamu ya kiswahili na jina la kiswahili,safi sana.Umezuka ujinga wa filamu uchwara kupewa majina kama `Girl Friend`,`Dillema`nk wakati maudhui yote ni kwa kiswahili.Kwanza hata mtiririko wa hadithi zake ni wakuigaiga toka ulaya na tamaduni za Afrika magharibi.Tubadilike,riwaya za kiswahili zile bora hasa za zamani zitengenezewe Filamu kama ilivyo Simu ya Kifo na zile za Joram Kiango.Big up Katalambula!
ReplyDelete