
mabondia wa shirika la utangazaji la uingereza yaani bbc toka kushoto chaaaaaz hilary, hassan ‘imaratison’ mhelela, na bondia wa kulipwa kassim "the dream" ouma wa uganda [bingwa wa dunia uzani wa middle unaotambuliwa na IBF) na idd mwana seif ambaye alishawahi kuwa bondia enzi hizo, japokuwa sasa kama ilivyo kwa chaaaaz na hassan ni mtangazaji wa bbc. hapo ouma alitembelea idhaa ya kiswahili ya bbc akitokea uganda alikoenda baada ya kusamehewa na serikali kwa utoro jeshini. habari zaidi za ouma bofya hapa
Mtoto ni mzuri sana huyu http://youtube.com/watch?v=bYuu83u7ulw&mode=related&search=
ReplyDeleteCharles Hillary, samahani lakini hiyo sharti imekaa kama zile nguo za wafungwa wa gerezani huko Alabama USA!
ReplyDeletemzee wa macharanga tumbo la nini tena ulaya huku wakati masupu ya ulimi, korongo, trupa nk pale breakpoint hupati tena. mazoezi mzee!!!
ReplyDelete