jide akiwa na wadau wakati wa ziara yake ughaibuni

Lady Jaydee & Machozi band live gig - every friday
Lady JayDee is so far the most decorated musician in Tanzania, winning an award almost every year from 2001 when she burst into the music scene with her jit 'Machozi'. Complete with her own band the songbird presents to you Lady Jaydee & Machozi Band Live Gig, Every Friday at Ruaha Bar & Restaurant at Kinondoni next to JJ Blue from 2000hrs - Midnite.
This is where beautiful people, friends, celebrities and music fans will connect to start off their weekend.
The Gig will give an outstanding showcase from Lady Jaydee giving you a cocktail of hit songs from all over the world, including songs from all time international greats the likes of Whitney Houston, Tina Turner, Bob Marley, Sade, Aretha Franklin, Marvin Gay...you name them - plus exclusive appearances from local chart toppers.
Come join Bongo's most talented local musician and enjoy your evening...
for more information call +255 784 884 007 or visit www.ladyjaydee.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2007

    Hayo mapaja yamenitia majaribuni! Dada zetu ficheni mapaja yenu, kwani mwatuumiza. ASANTE

    ReplyDelete
  2. Lady JayDee is wearing a very nice costume. The colours are very patriotic.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2007

    Jamani huyu wa kulia katulia hawa ni wa uk au? nisaidieni jamani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2007

    Lady JD I realy like ur style,I have all ur albums go girl!!!!!!!!!!!!! tafaaaaaaaaaaaaadhali usije ukaanza kupaka mkorogo stay the way u r

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2007

    huyu kushoto si tina??miss mambo fulani alikuwa mg sijui dar? anakaa uk michuzi napeda jua hili tafadhali amebadilika sana kaa ni yeye kala mkorogo huyuu alikuwa na weusi mzurii sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2007

    hawa walikuwa kwenye halloween nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2007

    itz true lady jay dee ni wa kawaida-kimuenekano yani- na make up anazo pakaga huwa mbaya bt itz also true that she haz a very hotttttttttttttttttt voice n shez very suxesful kip it jide

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2007

    utaacha kumponda Jide siku utakapijifungia naye room akakuonyesha vitu vyake. She is a super woman. Try to understand her way of life.Let us give her a break

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2007

    uyo wa kushoto ni tina wa morogoro,amejipiga deki kisawasawa, lakini dada ati huyu anapenda picha sana,

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2007

    Yes huyo ni Tina wa Morogoro na wala hakuwa mweusi we anonymous unayejitia kujua sana. Ukikaa ulaya rangi inabadilika wala si mkorogo. Ni binit mmoja mzuri sana na anajihesimu sana. We anonymous unaesema anapenda picha kwani we hupendi???????? Basi unamatatizo maana kila mtu hupenda picha. Mbona kila kitu watu mwatoa kasoro whats wrong with u???? Mahaters tu nyie mtajiju.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2007

    Kwani JD bado yuko na GADNER? Maana ma-Star bwana! Hawakaagi sana!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2007

    We anony "Thursday, May 31, 2007 7:54:00 AM"

    Kama bado wapo wote au wameachana we inakuhusu nini? Mbona watu mnakuwa wapekupeku hivyo? Hauna mambo ya muhimu ya kufanya zaidi ya kutia pua yako ndefu katika issues za watu?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2007

    wewe anon wa 1:38 unaedai amekaa ulaya ndio amebadilika rangi mbona rangi ya shingo na kifua haijabadilika au aliviacha bongo? wewe ni tina mwenyewe nini mbona unatetea sana

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2007

    wee annony wa thursday may 31,2007 7:54 hivi hujatosheka tuu na pande alilokupa JIDE kwene SIKU HAZIGANDI jamani!! hee wa nini dada wa watu mnafwatafwata!!anasonga mbele mwezako hataki ujinga tena,bado yuko na gadner kwani voy ulikuwa unamtaka!! sio chifupa huyooo,jide ana shule kichwani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...