Home
Unlabelled
maggid
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naye alikutoa pale kijijini kwetu akasema mkikutana ana uhakika wa kula. Wewe na yeye nani zaidi katika kulumanga??
ReplyDeleteIla miili yenyewe inatupa jibu...Keep it up guys mko makini na kazi...
Nimeangalia hii picha na kushikwa na njaa! Wali maharage, na kachumbari pembeni ni tamu kweli!
ReplyDeletehicho kisufuria.. hee! mlikuwa mnakula kwa mama ntilie?
ReplyDeletedu uto tu maharage be mnyalukolo,mbona unachota hivyo?
ReplyDeleteMjengwa!
ReplyDeleteMtu mzima fulani hivi. Mi nilijua bado yunk! Si mbaya. Tunahitaji busara zenu.
misupu hilo harage la nazi nini?manaake linavutia
ReplyDeleteSir Issa..VIPI MAMBO..PICHA SIO MBAYA KAKA...KAMA SIKOSEI, WALI WA NA MAHARAGE KAMASIJAKOSEA "..YAMEUNGWA.." KWA NAZI.."..NAFIKIRI MBOGA ZA MAJANI HAZINA RAV 4 VILEVILE.."
ReplyDeletepeople have responded positively with RAV 4 are they same case to HIV i think no. Why wadau i need reson
ReplyDeleteMzee mboga huwekwa pembeni ya wali/ugali..sio juu yake. Tazama ktk restaurants, ukiletewa chakula mboga ipo juu ya wali/ugali /fries au pembeni?
ReplyDeleteJamni bado tuu mnatumia sahani za plastic?
ReplyDelete