sikufahamu kama mdau mkuu wa iringa maggid mjengwa ni muoga wa rav 4 hadi nilipokula nae lanchi juzi pale kijiji cha makumbusho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2007

    Naye alikutoa pale kijijini kwetu akasema mkikutana ana uhakika wa kula. Wewe na yeye nani zaidi katika kulumanga??
    Ila miili yenyewe inatupa jibu...Keep it up guys mko makini na kazi...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2007

    Nimeangalia hii picha na kushikwa na njaa! Wali maharage, na kachumbari pembeni ni tamu kweli!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2007

    hicho kisufuria.. hee! mlikuwa mnakula kwa mama ntilie?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2007

    du uto tu maharage be mnyalukolo,mbona unachota hivyo?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2007

    Mjengwa!
    Mtu mzima fulani hivi. Mi nilijua bado yunk! Si mbaya. Tunahitaji busara zenu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2007

    misupu hilo harage la nazi nini?manaake linavutia

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2007

    Sir Issa..VIPI MAMBO..PICHA SIO MBAYA KAKA...KAMA SIKOSEI, WALI WA NA MAHARAGE KAMASIJAKOSEA "..YAMEUNGWA.." KWA NAZI.."..NAFIKIRI MBOGA ZA MAJANI HAZINA RAV 4 VILEVILE.."

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2007

    people have responded positively with RAV 4 are they same case to HIV i think no. Why wadau i need reson

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2007

    Mzee mboga huwekwa pembeni ya wali/ugali..sio juu yake. Tazama ktk restaurants, ukiletewa chakula mboga ipo juu ya wali/ugali /fries au pembeni?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2007

    Jamni bado tuu mnatumia sahani za plastic?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...