Home
Unlabelled
mastaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fanyeni mazoezi mnakula sana makange
ReplyDeleteHii picha ulipiga kabla au baada ya filamu? Sioni mtu aliye na furaha hapa. Au wanaona wivu kwa vile hawakuwemo?
ReplyDeleteHivi kwanini Michuzi huwaiti waigizaji unaita mastar? Ina maana ukishaact movie au kuimba basi ushakua star hata kama ukipita mjini hamna mtu anayekujua basi wewe start tuuuuuuuuu!!!!!!
ReplyDeleteKAKA MICHU
ReplyDeleteHUYO SHOTO NI KANUMBA?? NAONA KAMA YEYE KMA SIYE NAMBIE KAKANGU
sicenga huyo ndio kanumba mwenyewe na katikati ''mama monalisa'' na pembeni ray
ReplyDeleteNakubaliana na anon wa 6/5 5;39pm hakuna star hapo,wote hao ni waigizaji tena waliochoka mapema.Sio kuwa tunawoponda kwa wivu au kitu gani,bali tatizo ni kutaka sifa bila ya kujifua kisanaa ili waive ipasavyo. Ndio maana wengi wao wanaishia kwenye UTAPELI NA HADAA.Waende shule basi!Ustar ni zaidi ya kuonekana ktk Luninga.
ReplyDelete