mastaa kibao wa filamu walihudhuria uzinduzi wa simu ya kifo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2007

    Fanyeni mazoezi mnakula sana makange

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2007

    Hii picha ulipiga kabla au baada ya filamu? Sioni mtu aliye na furaha hapa. Au wanaona wivu kwa vile hawakuwemo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2007

    Hivi kwanini Michuzi huwaiti waigizaji unaita mastar? Ina maana ukishaact movie au kuimba basi ushakua star hata kama ukipita mjini hamna mtu anayekujua basi wewe start tuuuuuuuuu!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2007

    KAKA MICHU

    HUYO SHOTO NI KANUMBA?? NAONA KAMA YEYE KMA SIYE NAMBIE KAKANGU

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2007

    sicenga huyo ndio kanumba mwenyewe na katikati ''mama monalisa'' na pembeni ray

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na anon wa 6/5 5;39pm hakuna star hapo,wote hao ni waigizaji tena waliochoka mapema.Sio kuwa tunawoponda kwa wivu au kitu gani,bali tatizo ni kutaka sifa bila ya kujifua kisanaa ili waive ipasavyo. Ndio maana wengi wao wanaishia kwenye UTAPELI NA HADAA.Waende shule basi!Ustar ni zaidi ya kuonekana ktk Luninga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...