muongozaji hammie rajabu akitambulishwa kwa kada

mnasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2007

    "Gubu la wifi" is still one of my favorite novels.
    "Mama Semeni ee, wamanyema mtanenepa mwaka huu...,"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2007

    Michu niasalimie sana mzee wangu Hammie Rajab na mpe hongera kwa kuliendeleza gurudumu ni kazi nzito sana inayofanyika katika hali ya ugumu sana lakini wamefanikiwa hilo la kwanza la pili najua kuwa nyingi ni video ndio zinatengenzwa hapo Bongo lakini pia ni jitihada kubwa hizo na hivyo nawapongeza inabidi kuanzia sehemu fulani na nyumba inajengwa taratibu.Jambo la muhimu inabidi wadau wachangie na kusaidiana na serikali katika kuendeleza mambo ya filamu. Nitafurahi nikipata copy nami niburudike. Keep it up dada Dorothy and mama Dorothy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...