kila jumatano ni usiku wa mwafrika bilikanaz klabu na twanga hupepetaga namna hii....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2007

    wamependeza sana mimi msichana mwenzao tu nawatamani,sijui ndio ulesbian unaninyemelea

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2007

    Haya sasa, mliotumia kigezo cha Aisha Madinda "ana upaja mdogo mdogo" mpo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2007

    Matumbo hayo jamani..kuna kitu kinaitwa Situps? Je mnajua? hadi kinyaa kuangalia haya matumbo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2007

    Huyu sasa ndo AISHA MADINDA, ntoto paja paja....udenda

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2007

    asalalehhhh, hii mijimama yatia hamu ati yakhe.

    najisi sasa hii yatutolea udhuu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2007

    Mhhh Madinda kaumbika jamani hilitoto limekaa kike kweli kweli si mchezo ana nguo yuko hivyo angekuwa wazi si balaa, Michuzi una haki ya kumtetea huyu mdada kwa nguvu zote akikupa game moja huyu unasuuzika wallah.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2007

    Sir Issa.. VIPI MAALIM...PICHA STAREHE HII INAPENDEZESHA MACHO...MTU WA SHOO WEWE ULINUSURIKA LAKINI ??

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2007

    AH MIMI NAWAFAGILIA TWANGA THAN BONGO FLEVA. BONGO FLEVA THEY KNOW NOTHING ETI ONE BY ONE MAKES TWO. NOOOOO ONE BY ONE MAKES ONE (1*1=1) TUPO WOTE MZEE WA UNA HALI GANI

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2007

    huyo pemebeni mwa aisha anatamanisha sana

    ReplyDelete
  10. Annoy wa saa 4:53, hudhani kwamba kauli yako kwamba matumbo ya dada zako yanakutia kinyaa unakuwa huwatendei haki?
    Kuna tumbo gani hapo jamani la kutia mtu kinyaa?? hao mabinti ajira yao ni kunengua na kwa maana hiyo wana mazoezi ya nguvu. tumbo litatoka wapi ama wee unadhani tumbo linatoka kwa si-up tu? jamani, tusipende sana standards za weupe. tumbo ni kiungo kimojawapo muhimu sana kwenye uzuri wa mwanamke wa kibantu. na ndio maana hulioni oni ovyo ati! rekebisha kauli yako ya kinyaa, mkuu!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 11, 2007

    Michuzi nina wasix2 kuwa unalipwa posho kwa kupandisha watu chati. Watu 2 huwa hawakosi kuwekwa kwenye hii blog, Kifupa na Aisha Madinda. Hawa wanahusika na watu 2 hapo DSM, Fikiri Madinda na Mpakanjia. Mpakanjia na Fikiri hupenda kuimbwa kwenye nyimbo za wasanii wa bongo kila kukicha. Utasikia Fikiri madinda, wa madinda trans.....nk. Sasa wanataka na wandani wao wawe wanajadiliwa kwenye blog ya michuzi. Enzi za ujamaa michuzi ungekamatwa kwa kuwa na mishahara miwili.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 11, 2007

    Kuna Mdau amekandia Matumbo ya hawa wadada...

    Kasinzia huyo anayekandia, Hayo Matumbo yana raha yake kuyapapasa wakati wa majamboz. Wabongo punguzeni ulimbukeni wa vitu vya kimagharibi.

    I love FAT women.....

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 11, 2007

    Huo usiku wa mwafrika huo. Hivi kuna mtu analala nyumbani kweli?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 11, 2007

    AISHA MADINDA KAUMBIKA. ALIUMBWA KWA VIPIMO. NAMFAGILIA SANA. ANGALIA MIGUU YAKE, YAANI MIMI HUYU DEMU NASEMA ANGEKUWA ANAOGA KWENYE TUB ILIYOJAA POVU LA COCOA BUTTER, AKAPAKAA LOTION ZILIZOKWENDA SHULE, AKAWA ANAVAA NGUO ZA KIKWELIKWELI, MAKE UP YA KIKWELI, ANAKULA CHAKULA CHA KIKWELI, ANALALIA KITANDA CHA KIKWELIIII, JUA ALIMKONG'OLI BEYONCE ASINGEVUMA, ANGEVUMA AISHA MADINDA. ANAYEBISHA NA ASEME!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 11, 2007

    Nyie watu ambao mnataka kutetea haya matumbo kwa kweli siwalaumu sana labda ndio zenu kwenda na mtu litumbo kama mimba ya panya. Kauli yangu sibadilishi, ila sijalazimisha mtu, huu ni mtazamo wangu kuwa haya matumbo yanatia kinyaa kwangu, kama wewe ni zako kwenda na matumbo namna hiyo poa ila usilazimishe nifute kauli yangu wakati huo ndio ukweli wenyewe. Nusu nitapike hapa kwa kuona makunyanzi namna hiyo. Afya zetu tuzilinde watanzania, unene ni ugonjwa.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 12, 2007

    basi kivyako kama hupendi we hapo juu, sisi wengine tunapenda

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 12, 2007

    We unayekandia matumbo kuna tumbo gani hapa sasa au ndio ilimradi useme na ujulikane na we upo? Acha ujinga bwana si kila kitu lazima useme kama huna point unakaa kimya Muziki huu unataka umbo kaa pembeni Unapenda kujibizana kama unaimba taarabu!!!Nzishe wee kutukana dada zetu, mkiwekewe picha zenu za muziki wenu wa kuvalia suruali chini ya makalio utachangia hii ni Ngwasuma bwana...Michuzi Bhelejeeee babake, Hii ni juu ya faranga unakula ile kitu roho inapenda hii fame ya fasi ya bele!!! mhhh

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 12, 2007

    We anony... mkandia tumbo bahti yako hujataja jina ungetaja ningemtafuta dada yakohadi nimnanihii halafu nikuletee tumbo tuone kama utalila Sh****nzi wa hedi!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 15, 2007

    Haya matumbo yanatia kinyaa..pigeni situps jamani minyama utafikiri nini sijui

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...