washiriki wa shindano la kimwana wa twanga pepeta wakipiga jalamba ukumbi wa bilikanaz jana usiku. kesho watapanda jukwaani kugombea gari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2007

    Enzi za Mwalimu mambo hayo yangeitwa UMALAYA! Ama kweli Tanzania pamebadilika!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2007

    Wakati jamii nyingine zinaendelea na kuelimishwa katika mambo muhimu kama elimu, afya, uchumi n.k sisi (Watanzania) bado tunakazania kucheza ngoma. Huku wanafunzi wanafukuzwa chuo kikuu, watoto wa shule hawana walimu wenye mafunzo au wakutosha, hatuna huduma muhimu kama maji, umeme, hospitali zenye vifaa na wauguzaji wenye mafunzo kamili. Let's wake up and stop this nosense!
    It is very sad ukisoma blog kama hii au katika website nyingi za Watanzania all you see ni miaaliko ya party, articles zinazohusu modeling, matatizo ya ndoa za watu (Amina & Mpakanjia) and so forth. Lets discuss critical issues and problems facing our generation and our country.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...