naona wadau wamepania kunigaragaza na maadobe yao. ah, nifanyeje wakati nawapenda na kuwaheshimu wote zaidi ya kuwaridhia matakwa yao?


naomba anika hii kitu hadharani na uwajulishe wadau espeshali wale wa bwawa la maini kama ulishachukua fomu za uanachama Milan.

Its me MAN U- ORIGINAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Michuzi hili lisura lako liko makini sijui kwanini usingeingia katika kile kinyang'anyiro cha kina Remmy na Masoud Masoud.Ungeshinda baba,next tym usikose kushiriki nina hakika utashinda.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2007

    Dooh ni kweli, Bro Michu hii sura yako inatisha. Ukimwonyesha mtoto mdogo hii picha lazima atalia mpaka roho itoke. You are next to Masoud

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2007

    Bro michu hii sura yako yatisha! Nasema yatisha si utani kwani hata mtoto akikuona atalia mpaka mama yake ambebelezee nyonyo. Jitahidi usiwe unaweka picha yako kwa hii blog

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    du,michuzi mshkaji wangu wewe mbaya kinoma,dekshia mimeno,yanjanooooooooo,kama jezi ya yanga.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  5. Duuh bro michu ponguza ulabu unakuharibu zamani ulikuwa handsome boy lkn sasa unatisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...