hapa kuna ujumbe mwaridhawa kwa wasomi
Dear Friends,
On Saturday 5th May 2007 Peers Group (Group of Graduates) had an Annual Dinner Attended by more than 70 Peers. Barclays Bank and SimbaNET Limited who were official Sponsors gave a presentation regarding their services.
Barclays Offered $ 500 and SimbaNET $ 1500. Barclays offered Unsecured Loans for all Peers Group Members up to TZS 30 Million as a special package for Graduates.
SimbaNET Offered VSAT Connectivity for Internet as special offer for Peers Group Members with unlimited access on 24 hours basis for $ 1500 (Equipment) instead of $ 3000.
During the Event, Mr Richard Kasesela, Mr. Alloysce Midelo, Dr. Ulomi and Mr. Mtsimbe all made brief presentations on different matters of National Interest. Dr. Milton Makongoro Mahanga, Deputy Minister of Infrastructure Development made a general remark of the occasion. He then Launched Peers Group Website: www.peersgroup.org
Some Peers then made various comments and contributions. There was also a fund raising occasion where more than TZS 5 Million was pledged. Complete report, minutes and pictures of events have all been posted to our website www.peersgroup.org
There is now an initiative of calling the General Assembly of all Graduates and Intellectuals (Peers) so that a formal leadership and initiatives can be formed. The same will be called in June/July and efforts are being made to invite Peers HE Jakaya Kikwete and Hon. Edward Lowassa.
Membership to Peers Group is FREE as long as you are a Graduate, but you must always have POSITIVE ATTITUDE. For Further details visit www.peersgroup.org
or contact:
Sanctus Mtsimbe (B.Sc.; M.Sc.)
Peers Group Coordinator (Group of Graduates and Intellectuals)
Mob. Tel: + 255-754 833 985

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    Hii ni nzuri, lakini ngoja nikuulize hivi kuna big brother / big sister organization yeyote huko utu wekee pia.

    Mimi nataka kuwa mentor wa young students Tanzania. Kama kungekua na site yakuweka wanafunzi huko kati ya 5 to 10 grade or even 12 grade. Kweli ninge take my time to get intouch with few of them and advice them academically or with day to day other personal issues.

    Wengi wetu tume kwenda shule TZ baba aliishia form four mama aliishia darasa la saba. Nilipokua nasoma sikujua nini cha kufanya nikimaliza shule au nini nikua napenda zaidi ya walimu kunipangia madarasa form three kwa jinsi nilivyofaulu form two. Na bahati mbaya nilikua mzuri katika kila madarasa ya science, ya biashara na hata art yote nilikua nafaulu tu. Ilichukua muda sana kujua kuwa mimi ninafanya science tu kwa vile nimepangiwa lakini deep in my heart nilikua sipendi kabisa. Mpaka kupata mtu wa kunishauri kuwa labda science is not my thing ilitake forever na ni wakati nilipokua huku USA nimmeshaanza college. Sasa ningekua na mtu kama huyo ingenisaidia sana mapema tu.

    I hope kungekua na site au organization Tanzania. I know wengi wapo tu watakao penda kusadia watoto wa kwetu.

    Hapa USA nina mentor three young kids. Mmoja wa hawa watoto baba yake yupo jela. Since nime join my city big brother/big siter association. Nimejifunza mengi sana tu na nimekaa nikasema I wish na watoto wakwetu wangekua na chama kama hiki najua hata kumentor mtoto long distance itasaidia sana sana tu na sio lazima uwe unamwona huyo mtoto kila week. Email, barua au a phone call is better than nothing.

    Thank you so much blog yako ni nzuri sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Hii ni ujinga na kupoteza muda! Pia ni wizi! Naomba kama wahusika waliomba tangazo hili liwekwe humu basi wafikishie pia ujumbe huu kama ulivyo kwani naamini unajitisheleza.
    Kwanza katika kipindi hiki cha mvutano wa serikali na hao FUTURE PEERS unategemea mtu akifanikiwa kumaliza masomo yake atajiunga na hiyo jumuiya(ama vyovyote wanavyoiita) na haya kama mtu akijiunga hatojiunga kwa malengo waliyojifanya kuyapamba kimaandishi.
    Pia hii ni kuganga njaa kwa wachache wanaodhani ni wajanja kumbe mbumbumbu kuliko hata high graduate wa hapa U.S of A!!
    Kwa ushauri wa bure kabla ya ku-launch hiyo site yenu basi kungekuwa na mtu wa ke-edit mlichokiandika ama mlichodhamiria kukiandika!! maana hicho Kiiingereza ni pumba tupu! na ni aibu eti kusema ni Wasomi wamekaa na kufanya huu utumbo!Kumbukeni kuwa kwa vile mmeamua kuweka world wide hivyo watu wengi watasoma mambo yenu na kuona pumba zenu, hivi hata hamwoni aibu kwa matusi na masimango mtakayowapa na kuipa Watanzania na Tanzania kwa ujumla! Graduate wa chuo kikuu hata Kiingereza zero! Najua kuna wajinga wata-support hii mipumbavu kwa kusema Kiingereza si lugha yetu, lakini kumbuka ni wentewe wameamua KUONYESHA USOMI WAO WA "UBUNGO UNIVERSITY" na kuamua kutumia Kiingereza!!
    Hatimaye, hii yote ni political!
    Halafu wanasema eti wanakaribisha watu wa nje ya nchi( Watanzania) kujiunga nao! what a piece of shit!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2007

    Ni tatizo kubwa sana na upuuzi kufikiri kwamba wote wanaopita University Of Dar es Salaam sio wajuzi wa Kiingereza!ama kukibeza Chuo Kikuu UDSM kwasababu ya wachache,ikumbukwe kwamba hawa vijana wafikapo UD wanapaswa kuwa wameiva kutoka huko madarasa ya Msingi, Sekondari hadi Kidato ch tano na Sita.
    Kosa kubwa wanalolifanya waliowengi ni kufikiri kwamba wanaweza kufanya kila kitu wanasahau kwamba kuna watu wanaitwa Wahariri pale UDSM wapo wengi tu wa Kiswahili n Kiingereza pale Idara ya Lugha utawapata. Nimepitia hiyo web ya hawa Peers nimeliona hilo kosa la Kihariri wanapaswa kulirekebisha ili waonekane kuwa wapo makini. Ni tatizo hata kwa makampuni na Taasis nyingi hapa kwetu linaweza kurekebishika endapo tutawatumia wataalam wetu. Tuache dharau zisizokuwa za msingi kwani ukitowa ushauri hitoshi ya ni nini kifanyike? Tatiz la lugha ya Kiingereza halianzii UDSM lia mzizi wake toka chini,hata hivyo pale UDSM wanajitahidi sana wanafaa pongezi katika kujaribu kulitatua kupitia programu mbalimbali za Lugha, tatizo si wengi wanaopata nafasi za kujiunga na programu hizi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    We an organisation of Tanzanian graduates with a positive attitude. The was started by Former UDSM students mostly holding Registration numbers T85 up to T89.

    nadhani unaweza kuona kwamba hapo wanahitaji kuwa na editor.Sasa na nyie magradueti hamna vijan wa lugha kati yenu!hata mimi niliyepita hapo UD hii inanichefua kabisa!sasa huo uintaprenua wenu na hao washauri wenu akina Olomi hawakuliona hili?intaprenua anatakiwa kuwa shapu na smati!Basi jitahidini kupitia upya na mrekebishe makosa,hayo ya kiufundi kontenti ama maudhui lazima yaendane na form wanaita Muundo! Kazi kwenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    Aina nyingi ya ukosoaji inaotumika ni ya kukomoa au imejaa visasi. Wengi wanakosoa kwa kusakama UDSM badala ya wahusika wataasisi ni wababaishaji na waliojaa visasi.
    Lini tutaanza kuunga mkonojuhudi za Watanzania na kuwapa fikra mbadala badala ya kukaa na kutafuta makosa wakati wote? What is English all about? Acheni upuuzi, viongozi wengi wa nchi zilizoendelea wanaongea kingereza kwa shida sana, mie naamini ni mwamzo kama wanataaluma watakaa pamoja, wataweza kujadili changamoto za kiuchumi, kijamii na kisiasa na kutafuta njia muafaka za kuliwezesh aTaia kupiga kasi kuyaendea maendeleo ya kweli.
    Nawaunga mkono na maoni ya Anonys hapo juu yachukueni kamachangamoto kufikia malengo

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2007

    The group's website is loaded with spelling mistake. It is just terrible. Have editors go through your writings before posting to the website.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...