Home
Unlabelled
noma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa ndio wale wanafunzi wa Ukraine sio? Je ni kwa vigezo gani serikali imesema haiwatambui wao, bali dada zao tu?
ReplyDeletei feel my fellow comrades, natamani kulia,mi mwenyewe nipo ughaibuni kimazabe nabangaiza huku nasoma, hiyo bodi ya mikopo mi nilishashukuru mungu tu...NINA HASIRA NA FALA MSOLLA...TUSHINIKIZE BODI IVUNJWE NA WAZIRI WA ELIMU AENDE AKALIME NA NAIBU WAKE MBONA WANA DHIKI NA UCHU WA MADARAKA KIASI HIKI.
ReplyDeleteHawa watoto vipi??? Nyie mkoje??? Eeeh??? Mmeikosea nini thithiemu??? Nendeni chimwaga mkatubu dhambi dhenu dhote kwa jina la JK na la Makamba na la...nani tena vileee??? Ebo! Ngoja niwahi dhangu maboxi
ReplyDeletekwa nini hakina dada, human rights inatakiwa na usawa wa watu wote kike na kiume so kuna mahatiki gani ya kuwapata rukhusa wakidada waendelea na masomo na wakikaka warudi nyumbani kufanya nini ? je nchini inataka kuwa na watu wapumbavu au ndio mawaziri wanataka watoto wao ndio wawe na elimu ya juu au mnaongopa vijana wa siku hizi ndio wasomi na watachukua madaraka maana viongozi wote walikuwa hawajasoma au wamenunua vyeti wakati huo so aibu kuanzia kwa Rais Jk na viongozi wake wote....
ReplyDeletenasikia mwanakijiji anawadhamini na atawaleta wote usa kuwasomesha university of michigan, anamalizia tu mipango ya visa zao
ReplyDeletehii serikali ni ya kishenzi na imejaa ushenzi usio na kifani. hivi hao vijana walifikaje huko kama sio kwa kupelekwa na serikali?? sasa yawaje hii leo serikali inawakana kwamba haiwatambui? huu ni ufala uliopita kiwango. nadhani muda wa kuchapana bakora umefika....mie napanda hasira mie. DAMN!
ReplyDelete