Workers of the world, awaken!
Rise in all your splendid might
Take the wealth that you are making,
It belongs to you by right.
No one will for bread be crying
We'll have freedom, love and health,
When the grand red flag is flying
In the Workers' Commonwealth.

katika sehemu za kazi muajiri ana nafasi kubwa zaidi ya kuamua kama mazingira ya kazi yatakuwa ya amani na usawa.mwajiriwa ana nafasi kubwa zaidi ya kuamua kama uzalishaji utakuwa na ubora unaotarajiwa.kukiwa na ushirikiano mzuri kati ya makundi haya matokeo yake ni maendeleo ya kweli kwa pande zote.

nawatakia afya njema katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi.

Imani Kondo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2007

    Imani Kondo, this is Amani Kitali (the previous Amani Jackson). Nice knowing you are visiting this site (and I am totally not making any response to what you said, even though I think it was great.). Meant to say, email me at amanijk@yahoo.com and we can keep in touch. Still in Hungary/ Croatia (well, I don't remember well where you are). Alright.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2007

    Wee ndo Amani yupi vile? Nafikiri Imani yupo pale Prague, Czech. Classmate wenu mtukutu! Nafikiri mtanikumbuka tuuuuu. Navinjari hapa Dejvicka

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2007

    wewe dejvicka huyo unayemtania hapo juu ni mkweo,nitawatambulisha utacheka.huyo ni mdogo wake erick.amani i check you on mail.cheers,Imani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...