kikosi cha taifa staaz kilipokuwa gabon enzi hizo. mwenye data na atupatie. wakati huo kocha ni zacharia kinanda (pili shoto, juu) na mfadhili ni azim dewji (kulia, juu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2007

    Kuna wachache tu nimefanikiwa kuwang'amua. Waliosimama kutoka kushoto baada ya kipa ni Kihwleo, Masatu,Aswile, ??, J.Lazaro, Kitwana, Nemes

    Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Mwakalebela, Inno Haule, Method Mogella, Marsha, Sanifu, China, Bwanga na ???

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2007

    mzee kheri (wa pili juu kulia )na juma kidishi(chini kulia)wengine mdau hapo juu ameshawataja

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2007

    Hiyo team ilikuwa Bomba lakini

    ReplyDelete
  4. kipa mliemsahau ni IDD PAZI

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2007

    Katika magolikipa wa bongo nafikiri huyu Idd Pazi Was the best of all,Ni bonge la golikipa hakuna anayemfikia hata ughaibuni Petr Cech wa Cheski hamfikii.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2007

    Kwenye hii timu kuna jamaa alikuwa anaitwa Bure Salehe. Jamaa alikuwa mkali lakini sijui kaishia wapi! Nani anajua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...