mlio ughaibuni shauri zenu. wenzenu huku bongo tumepata jinsia nyingine yaitwa 'urine'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2007

    Maalim Issa nimekuelewa kwahiyo URIRIN na ".JINSIA."..ni tofauti ASANTE TUNASHUKURU...hii ni Adobe au manufaa ya Globu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2007

    Kuna ubaguzi wa kijinsia hapo, mbona choo ya wanaume haina mlango?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2007

    Hiyo system ya maji nimeikubali.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2007

    Huyo Anony wa hapo juu aminichanganyi kwa kusema ni Globu ama Blogu...ipi ni ipi...??

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2007

    Mlango kwenye choo cha wanaume sio sensitive, kwani mara ngapi tumewakuta jamaa wamejibanza nyuma ya miti au hata kwenye mitaro wanamaliza shughuli, ila kwa wanawake ni sensitive kwani wanjiheshimu na huwezi kuwakuta wanafanya kama wafanyavyo wanaume.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2007

    ha ha ha ha labda walitaka kuandika kama wewe ni reverse. heshe person aingie huko. NY city kuna sehemu zina vyoo vya lesbian na gays. Hutaki kuingia chooni mara jibaba linalojifanya gay nalo linaingia chooni au mwanamke anayejifanya gboy aingie choo cha wanaume si watambaka huko huko asahau hata kuwa yeye ni lesbian

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...