sir juma nature akiongoza kundi lake la wanaume halisi kwenye makamuzi ya mwisho ya tua yao ya mikoa kadhaa katika ukumbi wa triple a wa a-taun wikiendi ilopita. tua hiyo imeiongia kwenye vitabu vya historia ya bongo fleva kama yenye mafanikio makubwa kuliko zote hadi sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2007

    tunataka project ya kufufua bongoflava, album ya nature na inspector najua itafanya mapinduzi, waambie watupe ladha mashabiki turudi enzi nzile bflava iko moto enzi za tathmini, mayowe, nawakilisha, bila sanaa,leo, ingekuwa vipi,jinsi kijana,byebye etc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...