Home
Unlabelled
upara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo mzee kama vile kaishakatamani kabinti ketu!!
ReplyDeleteMzee Upara: Huyo binti mzuri anafaa kuwa mke wangu mdogo!
ReplyDeleteMichuzi, mbona umetoa hii picha Mzee anatoa jicho kwa binti wa watu.
HUYO BWANA MZEE UPARA USIPIME HAPO MWANA. NAKUMBUKA SANA MCHEZO WAKE WA KUIGIZA WA MAJI YA UZIMA(RTD)MIAKA YA THEMANINI. MAPRODUZA FANYENI FILAMU YAKE HIYO BONGE LA MOVIE MTAKULA SANA.MCHEZO WAKE ULIKUWA UNANGOJEWA KILA SIKU SAA MBILI NA NUSU USIKU RTD. BADO YUPOOO
ReplyDeletedu huyu mzee Kipara jamani kamwangalia mdada wa watu namna hii kama vile anataka kugawa sera, ah
ReplyDeletekwa kuwa mzee kipara alikuwa mzuri ktk maigizo ya redio sio guarantee kwamba anaweza shughuli pevu za kuigiza ktk small screen.tunahitaji kubadilika na ku realize tunavijana wengi tuu wazuri wenye uwezo wa ku act ktk screen lakini siyo kiparar yes ni mzuri ktk mambo yake ya radio.nakumbuka sana michezo yake miaka ya 79 mpaka themanini na ushee hivi
ReplyDeleteSasa wewe annoy hapo juu kama sehemu ya movie inahitaji mtu mzee basi wamchukue kijana? Au wakatafute mzee mwingine asiye na ujuzi? Kama sehemu inahitaji vijana basi watapewa hiyo nafasi na kama inahitaji wazee ni heri kuchukua mtu mwenye ujuzi wa kuact hata kidogo kuliko kutrain upya.
ReplyDeleteWewe huoni voice over movies nyingi hollywood wanachukua hao hao macelebrieties na kuwalipa hela nyingi tu si wangechukua tu mtu mtaani na kumlipa hela kidogo tu kwa vile kinachohitajika ni sauti tuuuu.
Go figure....
annoy wa 4:01, naomba nikufahamishe kuwa mzee Kipara ni muigizaji mzuri tu kama ambavyo tumeishamshuhudia mara kadhaa kwenye michezo ya runinga. lakini hata kabla ya hapo, kwenye miaka ya 1972/72 hii hadithi ya Simu ya Kifo iliishachezwa kwenye gazeti la mapicha la Filamu Tanzania lililokuwa likimilikiwa na huyo huyo Mzee Katalambula na huyu Mzee Upara ndio alicheza nafasi ya Inspekta Wingo ambayo kwenye sinema hii inachezwa na Hashim Kambi. nafasi ya Agnes ilichezwa na binti mmoja mrembo wa haja ambaye kwa hakika ningependa mno kujua aliko leo hii....
ReplyDeletehichi kibabu ni kizinzi for sure:
ReplyDeleteSir Issa...SAFI SANA KAKA.."..HUYU MZEE AMEKULA CHUMVI NYINGI MWACHE APATE BURDANI.." PICHA IMETULIA HII..BINTI..MZEE..NA..MAMA.."..MAALIM ISSA..HIVI ..VIAGRA.. BEI GANI HUKO.."
ReplyDeleteChesi asante sana kwa kumueleza huyo Anny hapo juu vitu hajui anarukia rukia tu. Ni kweli Mzee Upara alishacheza hiyo sehemu ya Inpecta Wingo zamani enzi za ujana wake miaka ya 70, kwakuwa anaijua story vizuri sana wakaamua kumpa acheze kama Mzee Jackob. Na kusema za kweli Mzee Upara ni msanii mzuri sana redioni na kwenye luninga
ReplyDelete