nawaletea habari njema wote wanaotaka kusafirisha magari toka uk kuja bongo. kazi kwenu kwani jamaa ndo wameshapata baraka zote za tbs. pichani ni bw. mayalla akipokea cheti cha tbs toka kwa bsoi wa taasisi hiyo kinachomuidhinisha kufanya shughuli hiyo...


Pre-Inspection of all vehicles shipped(exported) to Tanzania from the UK


The Tanzania Bureau of Standards (TBS) has granted WTM Utility Services Company of UK to pre- inspect all vehicles exported to Tanzania as from May 14th, 2007.


Director of WTM Mr Wilson Mutabazi told this blog that they will be a mobile unit for this exercise and upon request they can travel and collect any vehicle/s and be delivered anywhere in UK after inspection. There will be 5 inspection centres for this that are soon to be opened.


For more information please visit our website at wtmutilityservices.com or ring 0788 769 4186 or 0777 168 2378 in the UK. Or you can know more about this venture thru http://www.tzuk.net/index.php?option=com_content&task=view&id=3621&Itemid=39


Tanzania branch contact Mr Niko on +255 754 958 95 or Mr Mayalla on +255 784 929 361,


office Tel-Fax +255 2 221 7034 and their offices can be located at Kawawa Rd and Kiyungi st.opposite roman catholic churh-Magomeni.
CLARIFICATION
1. Pre - shipment from Japan inakuwaga around $200 by JAAI hamna anayelalamimika.
2. Other E. African countries wana requirements kama hii, Kenya wameteuwa Cotecna, fee is around £98 pounds excluding travel for inspection person,
3. Mot inspections is a uk government directive, regulations zao tofauti kidogo, Hiyo price imekuwa set hivyokwa ajili ya several reasons, a) bei ni political if it is too high basi watu watalalamika, b)it is not realistic since average labour cost for a mechanic/inspector is £50 per hour minimum two hours.
4. Penalty fees are upto 40% of the value of the car..assuming vehicle costs £3000 freight 1000, penalty is 40 % of cif works to about £1600 excluding customs, vat import fee storage etc.
5. The company pays a large sum to get the license, it has to pay it back onE way or another.
any more questions?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 43 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2007

    SILENT STALKER says......Michuzi mimi naomba kuuliza 2 questions

    1. umesema hizi ni habari njema hebu naomba unifafanulie kwa kirefu ni faida gani tutakazozipata sisi watanzania tuliooko huku? does it mean yakishachekiwa huku, huko hayachekiwi tena au bado yatachekiwa na huko..... kama the latter dont u think huo ni another mradi wa some rich n well establish people in Tanzania?? Mimi as long wakicheki HUKU then no more in TZ i will b ok with it, u just pay your TAXES and off you go, ....lakini wakidouble check hapo nasmell something fishy?? TRA needs to clafity this.........

    2. Hapa ndio utata unapoanza...Was there a TENDER put forward for this Company to be given a licence by TBS??? if so when was the tender put forward and where was it advertised, Media, Papers etc? if not who in the HELL decided to give this company a right to check our vehicle in 1st place....am very concern about this, we have seen many of these projects in & around our country in which rich kids keep on accumulating the wealth lets be realistics people. eg, TPS now NPS, Ubungo BUS terminal......I cud have put up my own company 4 the tender if it was EVER THERE, but i havent seen any. Tanzanians watch out there charges are £100 for a small car to £180 for a truck....imagine how much will they be making these fat cows just by sitting in the offices......Damn nchi yetu inanuka...INANIUMA SANA

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2007

    SILENT STALKER Continue...... nikiwa bado nina dukuduku, kitu kingine kimenijia hivi this Company imejiandaa vipi kukabiliana na utitiri wa magari pale ofisini kwao?? do they have the YARD to accomodate all the cars zitakazokuja kuchekiwa??? au Will they start to give uv appointments on when n where should we take our cars for inspection, This 2 me sound like a LONG n TEDIOUS process (more like NHS) naona kama urasimu utakua mwingi and therefore increase milango ya RUSHWA n we all know,how we TZ are tunavyonuka....

    Reading from their website, i can see them planning 2 have a mobile unit, hivi jamani mnataka kutumaliza na vijipound vyetu hivi how much more will it cost me if i want this mobile unit to come check my car in MIDDLEBROUGH???? zamani i used to drive to the coast of newcastle and off i ship my car sasa je??? au mobile unit hio ni BURE????

    let us b clear bout this sio kuangalia lives of few pipo only......Asallam Aleikum

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2007

    Safi saaana kuona wabongo tunazidi kuamka na kuchangamkia biashara za kimataifa.

    Jamani zama za kufikiria eti mpaka uajiriwe serikalini au kwenye kampuni kubwa au yenye muda mrefu ndio uheshimike ktk jamii zimepita.

    Wale washkaji wenye experience za kubeba mabox na kulea wazee msijivunge. Ongeeni na NSSF (kwa wazee) na pigeni debe kwa wabunge waidhinishe utaratibu wa nyumba za kulea wazee bongo.

    Someni soko. Elimu ya bure ishazikwa. Vijana watajitokeza tu kuchamba wazee na kubeba mabox, mradi hela ya kupiga kitabu inapatikana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Kama hawa jamaa watamaliza kila kitu huku huku ukifika Dar ni kulipia tax tu no problem, otherwise they are useless, and non beneficial. and it should not be legally binding for importers to use these unentrepreneurial people.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    Ni kweli Watnzania wengi tupo nje lakini tuna tofauti kubwa sana ndiyo maana tunabatizwa wabeba maboksi sasa anony hapo juu hajui hata kazi ya kampuni kama hizi akatoa mlolongo wa maneno mengi. Jamanitusijifanye macritique wakati vitu vingine haviko ndani ya uwezo wa kucritisize. Mnazifaham kampuni kama SGS zinafanyaje kazi hii? Tuache ulimbukeni wa kuamini kila tunakijua kwakuwa tuko nje ya nchi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2007

    Jamani kama mnavyoona, hawa ni wabongo wanataka kula kirahisi. well hongera zao lakini hii TBS inafuata taratibu zinazo takiwa kabla ya kuumpa mtu tender kubwa kama hii, does this company knows anything about checking vehicles roadworthness au ni another back door kinda business? kama kweli TBS ilihitaji agent wa kukagua magari mbona haijawahi kutangaza kwenye vyombo vya habari? je nahiyo fee ya kukagua magari mbona haifanani na hali halisi ya UK. wao wanacharge £100 kwa gari ndogo wakati huku hiyo test inafanywa na mwingereza mwenyewe ambaye amebobea na amesomea kufanya kazi hiyo hiyo na anatumia proper equipments kwa £35 na hamna kuonga, imepasi imepasi kama ni fail is fail. sasa je TBS imekuwaje wakubaliane na kampuni hii kucharge £100 na £180 ki vipi?
    au this TBS tops wanakula nao?kama ni hivyo sawa hatuna la kusema lakini this sorts of things should follow proper procedures kwa sababu Hii inaonyesha wazi ni rushwa wamekula hao TBS peps na undugulization umetembea i wounder why Tanzanian Govment wamekaa kimya i even wounder hata kama bunge wanajua mradi huu, kwani kila sheria lazima ipitishwe na bunge je wabunge mpooo? haya jamani al the best.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2007

    NYUUUZIII,

    MREMBO WA TANZANIA KAWA WA TATU JAMANI!! WA KWANZA MKOREA AKIFUATIWA NA MMAREKANI..WA NNE JAPAN NA WA TANO GREECE
    http://www.pageant-almanac.com/miss-universe/playoffs.php

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2007

    FLAVIANA WA TATU JAMANI
    http://www.pageant-almanac.com/miss-universe/playoffs.php

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2007

    flaviana wa 3 jamani
    http://www.pageant-almanac.com/miss-universe/playoffs.php

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2007

    hii miradi hewa itatumaliza kabisaaaaaaaaaaa. huu ni wizi si kuangalia viwango au ubora.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 28, 2007

    huu ni ufisadi na rushwa ya wazi. wataleta uchewelewesho badala ya ufanisi. hivi serikali itaacha lini kuunda miradi ya wizi????!!!! Spidi gavana zimeishia wapi? Boresheni pale penye kufaa si kujitajirisha. Laana ya Nyerere itawangukia.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2007

    Michuzi na wewe uko kwenye hii tenda nini nimeuliza maswali yangu mazuri sana umeyaweka kapuni. Kuhusu huu mradi. Naona silence talker ameuliza machache niliyokuuliza lakini umeyaweka kapuni. . Mungu akubariki

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2007

    Nakubaliana na wewe silence talker kabisa Michuzi amebania maoni yako thanks God yako yamepita. Lakini hapa inanukia harufu mbaya sana. Na inaumiiza sana. Sasa hivi sio miaka ya 63 wengi tuna knowledge na tunaelewa . Hii TBS hii tenda na kupeana bila kuitangaza sio fair kabisa. Na pia pre inspection for 100 while hapa nchini you can have that for 35 it is not fair ni kuumizana tu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2007

    Hii tenda ilitangazwa wapi.? Nchi zingine zitakuwa na pre inspection wapi au ni only for UK people tu? Kama ni usawa wa magari yanayoingia bongo ingetakiw akila continent iwe na pre inspection pia. Pound 100 for a small car for pre inspection it sounds so much.. Halafu likifika bongo tena ushuru na inspection nyingine? Jamani

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 28, 2007

    Inspection ni pound $35 tu kwanini tuchajiwe pound 100? Hii si halali kabisa hao wanaosema hii ni safi na watanzania tumechangamkia international business hawajui lolote walisemalo

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 28, 2007

    Wape wape watoto wa baba wazidi kukamua. Tanzania hiyo mbona kazi. Huko ndio maana sirudi kabisa, haya mambo yanaumiza roho sana. Ukiona mpaka miaka hii bado kuna rishwa na kingunization tu. Tenda zinatoka zinaishia mlangoni mwa office watoto wa wenyewe wanapewa. Mkisema tunaona wivu hapa ni hamjui lolote. Huku ni kuibiana for a small car 100 pounds wakati that is a full inspection in the USA at those bubu inspection centers. Otherwise it is free of charge. Na hata kama unaingiza benzi USA kutoka Japani wanaangalia EPA and FTP testing very cheap.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 28, 2007

    Kwa hiyo nchi zingine hiyo certicicate wataipatia wapi? Online.au tuyasafirishe magari yetu kwenda UK kupata certificate .ha ha ha ha ha au ni magari ya UK tu ndo yanafanyiwa inspections.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 28, 2007

    Hey yaani Michuzi unaona hii ni good news au na wewe uko kwenye hiyo commission nini? Zamani tulikua hatuelewi chochote kila tukiambiwa ni yes yes yes yes. Sir lakin sas hivi tumekua na tunasema kupitia midomo ya baba zetu ambao hawakuruhusiwa kusema chochote miaka yao. Hii ni fishy business na not fair na sijui hata bungeni wanaangalia hii na kuipitisha kweli. Kwa vile ishapitishwa kuwa sheria kuwa ukiingiza gari bila certificate yao unalipa fine huko bongo.

    1.Hiyo tenda ilitangazwa wapi?

    2. Kwa nini yawe ni magari ya UK tu? Magari kutoka sehemu nyingine yatafanyiwa pre inspection wapi?

    3. Gari likifika TZ na hii certificate litahitajika tena kufanyiwa inspection? Kwa vile hapa wanasema ni just a pre inspection for a &@@!%% 100 pounds???!!!!

    Naomba mniambie ni nani TBS aliyepitisha hii tenda na kumaliza. Mimi nitampigia simu nimuulize maswali mengi sana niliyonayo .

    Mwanakijiji upo hebu fuatilia hii baba yangu

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 28, 2007

    MICHUZI MADAI YA WADAU HAPO JUU MIE NAYAONA NI YA MSINGI SANA,

    KUNA KITU SIKIELEWI KATI YA HIYO KAMPUNI NA TBS, KWANI NINAAMINI KATIKA ULIMWENGU HUU WA KWANZA KUNA KITU KINAITWA MOT AMBAYO NDIO INAANGALIA WORTHNESS YA GARI KUKAA BARARABARANI NA UKIWA NAYO HII HUWA HAMNA HAJA YA KUCHEKIWA KWANI HAWA WATU SIO WALA RUSHWA HAWATOI HIYO CERTIFICATE UNLESS GARI IWE KWELI INAFAA KUWA BARABARANI SASA HICHI WANACHOANZISHA TBS SIKIELEWI KIUKWELI NI NJIA YA KUWAKAMUA WABONGO NA WALA SIO KUWARAHISISHIA MAMBO SASA HAILEWEKI JE HUYO WAKALA NDIO MBADALA WA MOT? AU KUNA VINGINEVYO , MADAM UMEAMUA KUPOST HILI TANGAZO BASI TUFAFANULIE PIA JUU YA HILI

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 28, 2007

    Mi nafikiri hapa kuna mchezo mchafu unataka kufanyika, hawa jamaa wamepewa cheti na tbs cha ukaguzi lakini hawakupewa legal right ni mpaka bunge likae sheria ipite kwamba kuanzia sasa magari yote yanayotoka UK yatakaguliwa na Utility sijui Satisfaction, kama ambavyo walipopitisha sheria ya magari yanayozidi miaka 10. Na ieleweke kwamba kwa kufanya hivi TRA na wakaguzi wa nyumbani watakuwa hawana kazi tena kwani TBS ni moja, kazi yao itakuwa ni kupiga tax tu. Lakini kama wanafanya double inspection is a waste of time and peoples resources kwa kulipia. Kwa mfano hawa jamaa wakisema OK halafu TZ wakasema fail huyu jamaa atanyang'anywa tender?. Hebu tuwekeze kwenye investment sio usanii kama huu, there is no value added to the country by this company apart from individual benefit. Ninyi utility hebu kafungueni vitega uchumi nyumbani vijana wapate ajira sio kuwanyang'anya ajira wakaguzi wa nyumbani.

    there is no legal explanations for saying failure will lead in to a high penalty on arrival at home. Tell us what is the range of penalty so that we can be prepared to pay for the development of our country apart from giving you free lunch. This contract between TBS and Utility is 'VOID ABINITIO'. Unless is enforceable by law enacted by our parliament.

    paying £100 to £180? within UK? while the real cost here is £35 you must not be serious unless you tell us that there is 65% for those who gave you the authority.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 28, 2007

    WADAU WA UK:
    Mnaonaje tukigoma hakuna tena kupeleka magari bongo,ukitaka gari nunua Dubai au Japan,tuone kama hawa jamaa wataweza lipe rent na kodi zingine.
    NAWAKILISHA

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 28, 2007

    TATIZO LA WATANZANIA WANAKIMBILIA KUONGEA BADALA YA KUSOMA KWANZA...HIYO SIO FINAL, NI PLAYOFFS!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 29, 2007

    KAKA MICHUZI

    BINAFSI NAIKUBALI SANA BLOGU YAKO HII NA NINAHAKIKA KILIO CHA WENGI UMEKISIKIA, KAMA ULIVYOFANYA KWA POSTA TUNAOMBA NA HAWA WENYE HII KAMPUNI PAMOJA NA TBS WAJIBU HIZI QUERRIES JE MTU UKIWA NA MOT AMBAYO INATOLEWA KATIKA ULIMWENGU HUU WA KWANZA NI LAZIMA UPATE NA HII CERTIFICATE KWANI MOT NI DOCUMENT MUHIMU SANA KUJUA UBORA WA GARI NA HAWA JAMAA KWA TAARIFA YAKO HAWACHUKUI MLUNGULA GARI ISIPOFAA NI HAIFAI SASA NA HIKI CHETI SI NI KUTUUA WANANCHI HEBU WENYE KAMPUNI NA HATA TBS WATUJIBIE KWENYE HILI

    NAOMBA KUWASILISHA

    KIONGOZI
    UK

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 29, 2007

    SILENT STALKERS Keeps on continue......the guy who say its a PLAYOFF you sounds right lakini since when our Parliament have they say NO to a request???? vile vile kumbuka hawa jamaa wameshaanza operation since 14 MAY , now tell me kuna BUNGE limepitisha hapo?? na je vipi BUNGE likisema NO (highly unlikely), je wale waliolipa watakuwa refunded, is there any clause it their contracts????

    kila siku tunajionea new things brought up then zinapitishwa pitishwa tu.....Mimi napenda kushukuru watu kwa kulishupalia hili suala, Tusiwaachie hawa jamaa waturoll over.

    As other pipo have said y UK ONLY??? na kwanini sio the rest of the world e.g Nicaragua, Ukraine or Kazakistan au hizo hawana magari??? or is it UK ndio magari yetu mabovu ??? ( As far as I know magari ya UK they are more than 100% beta than DUBAI n JAPAN cars that are brought in TZ) au ni kwasababu UK potential of getting more ££££££ ndio imewafanya hawa jamaa wawahi hii deal.


    In JAPAN they use JAAI (i think) kwanini UK MOT isitumiwe kama hio tu. Mimi i brought my car in early 2000 mpaka leo inadunda na i only had to hand over MOT certificates au kwa sasa MOT zipo feki?? ( u must be kiddin me ) let us be real pipo.....I still smell sumthing fishy n will continue 2 smell this all the way.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 29, 2007

    1. Pre - shipment from Japan inakuwaga around $200 by JAAI hamna anayelalamimika.

    2. Other E. African countries wana requirements kama hii, Kenya wameteuwa Cotecna, fee is around £98 pounds excluding travel for inspection person,

    3. Mot inspections is a uk government directive, regulations zao tofauti kidogo, Hiyo price imekuwa set hivyokwa ajili ya several reasons, a) bei ni political if it is too high basi watu watalalamika, b)it is not realistic since average labour cost for a mechanic/inspector is £50 per hour minimum two hours.

    4. Penalty fees are upto 40% of the value ofthe car..assuming vehicle costs £3000 freight 1000, penalty is 40 % of cif works to about £1600 excluding customs, vat import fee storage etc

    5. The company pays a large sum to get the license, it has to pay it back on way or another.

    any more qs

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 29, 2007

    Maalim Issa "KILAJI CHA NANAI HIKI KAKA"

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 29, 2007

    HIVI KWANI NI LAZIMA KUTUMIA HIYO KAMPUNI YA UTILITY ? SI NI SOKO HURIA JAMANI, KAMA MTU HAPENDI UTILITY BASI ATUMIE INSPECTORS WENGINE. HEBU MICHUZI FATILIA KAMA UTILITY WAMEPEWA EXCLUSIVE MANDATE (YAANI HAKI YA KIPEKEE YA KUFANYA UKAGUZI WA MAGARI TOKA UINGEREZA)

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 29, 2007

    Wewe unayesema tunasema bila usoma je wewe umesoma na umeelelewa vipi au ndio mkurugenzi mwenyewe unafanya damage control. Wenzako washakabidhiwa kazi wewe unasema playoff. Pole

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 29, 2007

    Hapa marekani wanagarrage ukiingiza gari isipopass inspection kwa jinsi ya std zao wanaifix na unalipa hela nyingi tu. Kwa hiyo watu wanakua so careful kumake sure gari analoliingiza litapass. kwanini tusifanye hivyo bongo tukaongeza ajira kwa wananchi wetu. Kwanini tunapeleka kazi nje ya nchi?
    Hiyo Utility wanaweza kufanyia inspection tanzania pia.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 29, 2007

    waheshimiwa mnisaidie...ukiachilia mbali hii picha ya michuzi, hii taarifa ya hawa jamaa imetolewa wapi rasmi? uhusiano wao na TRA ambao ndio watoza kodi, pamoja na hizo faini za 40% zimetangazwa wapi?? hili jambo nyeti ambalo inabidi tupewe taarifa rasmi kutoka kwenye vyombo vyenye mamlaka!

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 29, 2007

    Baaaana eeeh!!! Hii taarifa hatutakiwi tuipate hapa ok, TRA watuletee official notice ili tujue otherwise hao jamaa lazima wakomae babake siwaiti na gari zangu nitasafirisha kama kawaida na TRA hawatanitoza fine wala nini tuone nani mjanja.Kama mmelipa licence a lot of money kivyenu, sie hatujawaomba.Kwa hiyo siwaiti mie nipo Coventry na gari zitaenda tuuuu.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 29, 2007

    JAMANI WATANZANIA NAONA WAKIMBIZI WA RWANDA NA BURUNDI WANATAKA KUTUINGILIA SANA.KWANZA KABISA HAWA WATU WA UTILITY JE SERIKALI INA UHAKIKA KAMA NI WATANZANIA??JE HAO TBS WAMECHECK PASSPORT ZAO ZA KITANZANIA MANAKE SIO MIRADI YA KITANZANIA WAPEWE WATU WASIO RAIA, HIYO HATUTAKUBALIANA NAYO KABISA.NI LAZIMA TUTAPAMBANA NA HAO WALA RUSHWA WA TBS NA HAO WAKIMBIZI WALIOUKANA UTANZANIA MIAKA MINGI ILIYOPITA LAKINI BADO WANATAKA KUTUNYONYA!!MICHUZI, WADAU TUNAOMBA MAJIBU KUTOKA TBS NA SERIKALI!

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 29, 2007

    MSEMA KWELI......

    Michuzi naomba ufafanuzi;hii utility company inakagua magari au wanafanya gas/heating repair and installation kwenye magari yanayoenda bongo???
    Huyo bwana Wilson auteleze agenda yake ni nini? Hii inasikitisha sana na inaonyesha ni jinsi gani serikali yetu inavyotoa tenda kwa watu wasio na ujuzi wa kazi hiyo.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 29, 2007

    Wadau wa UK sasa Wilson gas repair and installation zinamshinda anaamua kututapeli kiaina kwa kujifanya yeye ni car inspector, chande upo, kafanye kwanza inspection ya macho kabla hujafikiria kufanya inspection za magari.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 29, 2007

    Hawa watu wanataka kulishana tu, na huyo jamaa anayetaka kujustify kwa kinacholipwa japan, hana usemi.

    Ni vipi MOT, ambayo inapima kila kitu kwa vifaa vya kileo, waje hawa na mobile unit zao kupima gari ya kuexport.

    How wataget chini ya lori, kuangalia wheels alignment si kutaka kulana pesa na kuhongeshwa rushwa.

    Watupe hizo practicality ya hizo test zao, MIJIZI MIKUBWA..

    The government should bring BAck the Death sentence to the corrupt officials.

    Wao kazi yao kutunga sheria za DHULUMA, unyanyasaji tu..

    Sasa kama mtu unapeleka gari Northen Ireland, watakuja all the way toka London kuja Belfast, That sound STUPID, wakati gari ina MOT.

    Ni sawa na kutoka Dar kwenda Kigoma kucheki gari. Ha ha ha.. What an IDIOTIC officials.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 29, 2007

    eti MOT wingereza ni cheap sababu ni political ikiwa more than 35 pounds watu watalalamika........ hakuna facts kama hiyo statement ni political. British government ndo imeweka hiyo 35 pounds kulingana na requirements. Until recently MOT charges were £28 increasing to 35BP. Now go back uje na hizo political facts za watu kulipa 35BP. Im sick and appalled!!!!!! na kwa nini hizo test centres zisiwe BONGO??? kama nna gari 20 na niko scotland itakuwaje? na kwa wale waTZ ambao hawasomi hii blog watukujuaje?? I see damn loads of irregularities here buddy tunahitaji maelezo yalokamamilika. Utakapokuja tena kusema pumba zako tueleze legality za hicho kibali chako cha TBS hapa UK.......

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 30, 2007

    " 5. The company pays a large sum to get the license, it has to pay it back onE way or another."

    sasa ndio unapass cost zako kwa wananchi wanaosota kutafuta hela sana? Wewe umeona basi hapo ndio utawakamua. Kama uliona ni ghali sana ungewaachia bongo wafanye hii kazi. Wewe uliona hiyo lincense itakutajirisha ndio maana ukagharamikia. Watu wengi tunachukua short course certificate hoping to get a good job lakini sometime inawork sometimes haiork the way we wished. Hatuendi kuwalazimihs awaajiri watulipie hela tuliyolipa. Lincense is your investment usiwachomoe walala hoi.

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 30, 2007

    Hiyo hand shake ni kumwambia don't forget my commision. Hii camera is our witness.

    Na huyo mwingine anasema I can't believe it. I will definitely see you at the end of the year

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 30, 2007

    SILENT STALKER is Back...... MICHUZI mbona uko kimya na HILI SUALA umelianzisha Mwenyewe naomba ulifuatilie kama lile la POSTA jamaa waliamua kufanya Publicity thru your BLOGSPOT sasa naomba waje forward kujibu queries + TBS pia.

    With our support to FLAVIANA now finished this is the HOT ISSUE in this BLOG pliz tunaomba ufafanuzi mboni wote mmekua kimya au hamsomi haya maoni.......... TUNAOMBA majibu from that COMPANY, TBS, TRA, & GOVT pia..... we still WAITING......

    ReplyDelete
  40. AnonymousMay 30, 2007

    Jamani kwani hawa MOT na hawa Jamaa wanaregulations zipi zilizokuwa Tofauti, kama wanavyadai katika maeleozo yao.

    MOT ya hapa regulations zao ni kali kuliko hizo za Tanzania, au wao watanzania wamezipatia wapi hizo standard na regulations zao wanazosema..

    Hebu tufafanulieni..

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 01, 2007

    michuzi ungekuwa kama wana blog wengine wanaocomment ktk blogz zao na kusaidia maoni wananchi wewe huwa unajitokeza mara chache na hujibu maswali ya watu labda watu flani flani wewe ni mbinfasi sana na unaudhi mno

    ReplyDelete
  42. AnonymousJune 01, 2007

    Anon wa 11:36 am,
    simlaumu michu, yeye kachukua style ya 'responsibility avoidance', kwamba yeye si mchochea mada bali ni muwakilisha mada sasa kazi kwenu wachangiaji na hii inamuweka yeye kwenye hali ya usalama zaidi kwani hana lawama yeye aliisha sema mjumbe hauwawi hukuelewa maana yake?

    halafu hii blog inatembelewa na watu mabali mbali wengine wanaulewa chini ya michu na wengine juu yake sasa akijifanya 'know it all' atachemsha atakimbia blog kwani it m-back fire, asiwe na hamu hata ya ku update. Mi nakuunga mikono style yako michu inakufanya wewe kuwa 'muokota mipira' tu wachezaji wengine wakipigana rafu, viwiko shauri yao

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 01, 2007

    Atajibu anayoweza na anelewa. sasa unataka ajibu humu kwani anajua kila jambo. Akitaka kuweka comment ataweka kama mtu mwingine sio kuwa atakachoweka ndio right. Unajuaje naye anachangia as anonymous?

    Michuzi wewe una kazi yako ya maana serikalini keep like that and keep your opinion by yourself.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...