leo ndo leo na asiye mwana abebe jiwe. binti yetu flaviana matata anajimwaga jukwaani kuwania taji la miss universe usiku huu uhko mexico mpya. tumuombee mafanikio...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2007

    Matokeo tayari...FM kawa wa 3

    http://www.pageant-almanac.com/

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2007

    Anonymous was Monday, May 28, 2007 5:19:00 PM hapo juu, ulichokiona ni "online poll" sio matokeo rasmi. Shindano lenyewe litaanza na kuonyeshwa 'live' usiku wa leo 9pm-11pm ET. Wakati napost hii msg ni 4:26pm ET (or 3:26CST). Ila hizo "online polls" zimeshafungwa, so tukodolee NBC Channel na kumuombea dua zuri mdogo wetu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2007

    well, Mashindano ndio yameisha, Flaviana aliishia kwenye Top 10. Sio mbaya kwa mara ya kwanza, Tanzania imewakilishwa. Good Job!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2007

    SASA HAYA NDIO MATOKEO RASMI: FLAVIANA MATATA AMEKUWA WA 6.HONGERA SANA FLAVIANA. HII NI YA KWANZA TANZANIA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2007

    amefikia top 10 she did her best congrats

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2007

    ameishia top what an accomplish for our sis. congrats.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2007

    Flavia hongera wala usisikitike hayo ni mambo ya kawaida. Kwanza hata hukuwa na experience ya muda mrefu na kufika top 10 sio mchezo.

    Pili I wish wangekuambia bongo usiongee kingereza

    Na tatu nadhani gauni la usiku limeku cost. Walivyo washenzi walieka ile sehemu walivyokua wanarudi ndani akawa antengeneza nguo yake kwenye bra. That is not nice.

    Jamani Miss USA alichukua nafasi ya Falvia. Ndio maana wali m buuuoo. I couldn’t believe my eyes. Na nilitegemea mkorea anashinda mara kaja mjapani. Well wenye mashindano yao ndio wanaamua Mshindi hatuwezi kusema mengi.

    Just priceless advice Tanzania mfanyage hayo mashindano mapema ili mshindi awe na mda wa kujifunza na kuangalia kanda za mashindano ya zamani na kujua nini to expect.. Maswali na majibu ya wengi ni kama ya kufundiswa kwa hiyo sio vibaya kuwa coach watu wetu pia.

    Flania alikua ana so much potential lakini she was so raw. Kujieleza kwake mototo wa watu ilikua from her heart wakati wengine wamefundishwa what to say. Bibie huku ukiulizwa swali jibu linalenga dollar sio dollar inalenga jibu. That is the principle. Unawaeleza wanachotaka kusikia.

    Pili jamani Tanzania Kiswahili ni lugha pia sio lazima watyu wetu waongee kingereza. Tujivunie lugha yetu. Kama hawako fluent or comfortable with eglish let them do their things in a motherland language..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2007

    demu kajitahidi ila gauni.huyo mbunifu sijui kutoka vingunguti..lol..ila babu kubwa demu kajitahidi sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2007

    THERE IS ALWAYS TOMMOROW.
    The first time top 10 the second time tunaondoka nalo.

    Hat nchi yetu ilikua kwenye TV for couple of seconds na ilirudiwa rudiwa najua kesho kazini itakua big up and big deal
    Hongera FLAVIA

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2007

    Jamani hivi Tanzania tuna pronouce Ta-nzania au Tanza-nia?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2007

    oh maskini mpenzi wetu flaviana ameishia top 10.

    mi nadhani wametuibia hawa majamaa.

    haya kila la heri flaviana matata

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2007

    Hivi aliyemvalisha mrembo wetu ile gauni ni nani hasa makungwi wa ughaibuni tujuwe.Hay cha mno nini hasa si mngesema tuchange kuliko kumvalisha gauni kama anaenda kusuka ukili.Msituletee kabisa mwakani,hela tunayo,msiwavalishe warembo wetu nguo za mkwajuni.Yani huyo aliyemvalisha lazima apakwe.Binti mzuri kama yule unamvalisha gauni ya max ten?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2007

    Miss Japan, Riyo Mori Crowned MISS UNIVERSE(R) 2007 During Live NBC Telecast on May 28th

    MEXICO CITY, May 29 /PRNewswire/ -- This evening, during one of the
    year's most exciting live international television events, a star-studded
    panel of judges chose Miss Japan, Riyo Mori, as MISS UNIVERSE(R) 2007.
    Ms. Mori is 20 years-old and has been dancing since she was 4. She
    loves traveling the world and enjoys visiting museums and watching
    musicals.
    The judging panel for the 2007 Miss Universe Pageant included NBC's
    "Heroes" James Kyson Lee, NBC's "Deal or No Deal" briefcase model Lindsay
    Clubine, Dallas Cowboys quarterback Tony Romo, rocker Dave Navarro, World
    and Olympic figure skating champion Michelle Kwan, fashion designer Marc
    Bouwer, Novela Star Mauricio Islas, "Project Runway" judge and Elle
    magazine fashion director Nina Garcia, and former Miss Universes Dayanara
    Torres (1993) and Christiane Martel (1953).
    Throughout the two-hour event, contestants from 77 countries around the
    world competed in three categories: swimsuit; evening gown; and personality
    interview. Zuleyka Rivera, Miss Universe 2006, crowned her successor at the
    conclusion of the two-hour primetime telecast, before an estimated
    worldwide viewing audience of more than 1 billion in over 170 countries.
    Final Results:

    First Runner Up: Miss Brazil, Natalia Guimaraes will assume the
    duties of MISS UNIVERSE 2007 if the titleholder for
    some reason cannot fulfill her responsibilities.

    Second Runner Up: Miss Venezuela, Ly Jonaitis

    Rest of Top Five: Miss Korea, Honey Lee; and Miss USA, Rachel Smith.

    Rest of Top Ten: Miss India, Puja Gupta; Miss Angola, Micaela Reis;
    Miss Tanzania, Flaviana Matata; Miss Nicaragua,
    Xiomara Blandino; and Miss Mexico, Rosa Maria Ojeda
    Cuen.

    Rest of Top Fifteen: Miss Thailand, Farung Yuthithum; Miss Denmark, Zak
    lina; Sojic; Miss Slovenia, Tjasa Kokalj; Miss
    Ukraine, Lyudmyla Bikmullina; and Miss Czech
    Republic, Lucie Hadasova.

    Miss Photogenic Award: Miss Philippines, Anna Theresa Licaros. The general
    public voted on http://www.nbc.com for the delegate who
    exemplifies beauty through the lens of a camera.
    She received a $1,000 cash prize and a trophy from
    Rogaska Crystal.

    Congeniality Award: Miss China, Ningning Zhang. This award reflects
    the respect and admiration of the delegate's peers,
    who voted for her as the most congenial,
    charismatic and inspirational participant. She also
    received a $1,000 cash prize and a trophy from
    Rogaska Crystal.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2007

    Hivi hiyo Evening gown alipata wapi? Bora anageshona gauni Bongo, ile sijui alikuwa uncomfortable nayo na walimwonyesha sijui ana adjust bra cup ya nguo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...