tz wani ivo mapunda akiwasili mazoezini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2007

    Wakishapataga vigari namna hii basi sifa zinazidi. Mabibikwa wingi na Kupombeka kwa saana mpaka viwango vinashuka. Vandumweh! Wacheni hizo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2007

    Mbona mchizi anaonekana kama ana kiriba tumbo.Inakuwaje mchezaji wa kimataifa anakuwa kipipa?Ndo maana anachemshaga golini

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2007

    Afadhali Kaka Michu umeandika Ivo ni Tz One, kuna baadhi ya wadau na vyombo vya habari hawataki kukubali hilo. Wanadhani U-tz one ni jinsi waonavyo wao na sio aonavyo kocha mkuu wa timu ya Taifa. Lets be objective!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2007

    3 O-CLOCK 4 O-CLOCK 3 O-CLOCK Alijisemea MASANJA MKANDAMIZAJI...
    www.masanjamkandamizajipushilizadosterlingwangimangishadothebigsnake.com.shinyangavijijini
    TANZANIA GO! GO GO GO GOOO!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2007

    Kaka Michu nifikishie ujumbe wangu kwa TFF, vp mbona website yao ipo nyuma ya wakati, inakuwaje tovuti ya taasisi kubwa kama TFF haiendi na wakati? HAbari zake nyingi zimepitwa na wakati! Haina maana ya kuweka msimamo wa ligi ya makundi unaoonyesha kama vile ligi hiyo bado inaendelea wakati ligi imeshaisha siku nyingi na washindi wameshajulikana. Hey come on TFF update ur website frequently and keep us up to date!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2007

    Watu wanaoanza leo kufahamu soka wanasumbua sana. Kama huyo mgonjwa hapo juu na ukandamizaji wake. Kufungwa ndio sehemu ya mchezo kitu kinachoangaliwa ni muelekeo wako. Matokeo ya leo yanamaanisha nini, ndio kuanguka kwako au mwanzo wa maendeleo yako. Kama kufungwa ingekuwa ndio hukumu ya mwisho leo hii tusingekuwa tunamsifia Peter Schmeichel si unajua aliwahi kufungwa magoli sita katika mechi moja, sembuse Ivo manne?

    Msikurupukie ushabiki kwa vitu msivyojua mkakatisha tamaa vijana wetu. Soccer development is a process. Hii ni kama Mtoto kuzaliwa. Tafuta demu,Mwaga sera hadi akubali, Tafuta eneo zuri mtunishe tumbo, baada ya miezi tisa subiria matokeo. Hii inafanikiwa tu kama daktari kasema you have what it takes to make a woman pregnant. Kama una povu sahau.

    Sasa huyo mkandamizaji hapo juu anataka kuwa povu katika soka letu,shindwa kabisa mgonjwa wewe. Tena siku nyingine ukipost issue yako andika jina tukujue kabisa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2007

    NYAFI: umenifurahisha saaaana WHAVHEJHA SANA MWANA-WANI Jinsi ya kunifahamu Fungulia TV yako ya Inchi 14" leo jioni saa 1 jioni(31.05.2007) Tafuta EATV utaniona au toa Maoni yako katika thecomedy@eatv.tv Ha ha ha ha ha NYAFI www.masanjamkandamizajipushilizadosterlingwangimangishadothebigsnake.com.shinyangavijijini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...