Home
Unlabelled
nahodha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KWELI KIBONGO BONGO,HUYO DAKTARI HAVAI GLOVES,KAZI IPO HASWA!!!
ReplyDeleteHuo uwanja una 'miiba'? Hao kweli watakiona cha moto, maana hizo watakapohangaika kutoa miiba miguuni siye tunatikisa nyavu!!! aha hahaha
ReplyDeleteKwani Nahodha wa T-Staff si Mecky Mazime? Huyu mbona ana kama Nsajigwa?
ReplyDeleteWe anon hapo juu, tuna criteria zetu za kuvaa gloves, sio kuvaavaa tu.Unapoona wamevaa ujue kuna sababu, sasa hapo kama hajavaa sababu haipo.Stars siku hizi vifaa bwelele, hawawezi kukosa gloves za mia 5.
ReplyDeletemmh mifunza hiyo tena inatolewa jamani, wachezaji wakibongo kaazi kweli kweli, haya tutafika lakini na kila la kheri wabongo
ReplyDeleteNahodha wa sasa ni Mecky Mexime. Huyo anayetibiwa ni Shadrack Nsajigwa 'Fuso'
ReplyDeleteweee anony mwenye sheria zenu za kuvaa gloves ni mshenzi kabisaa kama zinaaffordika wavae sasa usituletee kichefuchefu cha mawazo sahizi hapa
ReplyDeleteanony wa kwanza yupo sawa kabisa,inakuwaje unamfunga mtu kidonda bila GLOVES?usishangae alivyomaliza hapo hakunawa mikono,kweli kazi ipo!
ReplyDeleteSir Issa HABARI ZA LEO.. UMENASA PICHA NZURI SANA HII..."..UNAMAANA YAKO AUSIO.."..NAONA MTAALAM WA AFYA YUKO KAZI...HAYA BWANA.."..KAMASIKOSEI SERIKALI INA WAKAGUZI WA MASWALA YA AFYA NA MICHEZO.."samahani jamani..
ReplyDelete