waziri ha habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatib akizindua simu ya kifo huku prodyuza dorothy kipeja, mtunzi mkongwe faraji h.h.katalambula na mpiga picha mkuu ansary msangi wakishuhudia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2007

    He!!!we msangi,lini tena huko?haya bwanaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Hongera Tripod Media kwa kutengeneza what i can say filamu bora ya kitanzania, kweli ujuzi ulizingatiwa. Uzinduzi ulifana sana,good idea kwa waziri kupata nafasi ya kuplay DVD kama njia ya kuzindua, the kuionyesha kwenye big screen, Tripod you have it...dont let it slip in your hands, tunaisubiri sokoni maana kuiona tu klwenye launching haijatosheleza. People this is a movie to watch...hawa watu wamepiga step kwenye utengenezaji wa filamu.Hope others will follow...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

  4. AnonymousMay 25, 2007

    Hongera Kulwa mdogo :)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...