Home
Unlabelled
fresh jumbe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe Tanzanites bado wapo!
ReplyDeleteMjomba hawa sio wale tanzanites wa miaka ile. Wale jamaa watakuwa kwenye mid 50ties au zaidi. Naongelea wale wapare walioimba embe dodo mchangani. Ndo maana jamaa anajiita tanzanite Japan! Nikiwa majuu nitamsikiliza akija ila bongo na kwenye mchuma simuweki.....
ReplyDeleteBlackmpingo
si nilisikia tanzanites baadhi yao walikufa kwa ngoma au inawezekana nachanganya.lile group lilikuwa la ngoma ngoma ivi walikuwa poa sana.
ReplyDeleteHuyo vipi huyo! Kwani si anajua huku Tanzania kuna bendi wanajiita The Tanzanites? Sasa nao wakipata ziara ya/mwaliko wa kwenda kupafom Japan itakuwaje sasa hapo?!
ReplyDeleteFRESH JUMBE TANGU LINI BAND YAKO INAITWA TANZANITE??? UNAJITAFUTIA MATATIZO MWENYEWE! HAO TANZANITE TUNAOWAJUA TANGU ENZI HIZO (Kapinga's, baba Walter, Betty & n,k) WASIJE WAKAWA WANAKUVUTIA PUMZI UKIWA KATIKATI YA MAFANIKIO WAKAKUBANDIKA NA MLAWSUIT UKAKOSA MWANA NA MAJI YA MOTO BCAREFUL! UNAKUWA KAMA HUISHI ULAYA
ReplyDelete