kassim ali omar ni mtanzania ambae alikua anasomea uhandisi wa majenzi mjini istanbul katika chuo kijuilikanacho kama bogazici university au bosphorus university awali kikijuilikana kama robert college. mahafali yamefanyika jana ambapo ndugu, jamaa na marafiki walikuwepo kumpongeza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2007

    Bogus university like Pacifi universisty

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2007

    hongera sana mzee.Keep it up!!
    Kimomwe unamaliza lini naona huu ni mwaka wa sita..au unasoma computer medicine nini??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2007

    Safi sana kijana, haya sasa karibu tujenge taifa. Safari bado ni ndeefu sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2007

    I believe hii picha ilipigwa kwenye mahafali....Sasa hayo ni mavazi gani jamani kuvaliwa siku special kama hiyo? Mbona wabongo mnatutia aibu? Hata wanugu wanapendeza siku ya ku-graduate high school.. Michuzi, ebu ondoa hiyo picha, na waeleze hao jamaa next year wavae mavazi yaendanayo na heshima ya graduation. Hata pale Mlimani wamachinga wanavaa vizuri siku ya mahafali.... Itoe hii picha please michuzi.. Ni aibu..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2007

    Kwikwi teh teh,kompyuta medesini imetulia hiyo oiiiiiiiiiiiiii. Ah jamani acheni kutuvunja mbavu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2007

    Wewe unaehoji mavazi, ulitaka wavae mavazi gani, au ulitaka mpaka hao walokuja kumsapoti wavae majoho na wao kama wanagradueti, basi hapo hao weupe wamevaa vibaya kuliko hao wabongo, angalau wao wamejisitiri kipindi kama hiki cha joto, weupoe uchi mtupu sasa nani anatia aibu. wacha kujifanya unajua kuvaa wewe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2007

    Hiyo Kozi ya COMPUTER MEDISIN inatolewa na Chuo kipi mimi nimeipenda.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 01, 2007

    Mi nakubaliana na mchangiaji wa mwanzo kwamba hawa jamaa wamevaa mavazi ya mpirani.

    Huyu anayebisha anatakiwa kwanza akaombe kurudia mtihani wake wa LY alioufeli... then aende form 1 - 4. Akimaliza form 4 aombe afaulu.. Safari yake itakua ni ndefu, ila Mungu akimsaidia akamaliza na chuo kikuu then ndio atafahamu umuhimu wa kuvaa vizuri kwenye mahafali ya rafiki ako.

    Wazungu wanavaa vitu vya ajabu, ila sio kwenye graduation. Kwa hiyo wewe unaiga wazungu tu hata kama wanavaa vitu vya ajabu.. Hongera...

    Fata ushauri wangu, karudie mtihani wa LY then ukimaliza yote then ndio utajua umuhimu wa kuvaa mavazi kulingana na mazingira..

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 02, 2007

    Si mchezo, ukweli ni kwamba jamaa wamechoka. Naweza kuona mitumba ya manzese bado baadhi yao wanayo hata ya baada ya miaka takribani ughaibuni, hapa tatizo si pata bali they dont have class in terms of life, poleni sana na watu kama hawa uwa hawarudi nyumbani kwa kuwa hawachukua advantage ya exposure

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2007

    Kweli tunaona wakoloni(MaTX) wakija bongo kiatu pea moja ila ndio maCEO na wanatubuluza wanavyotaka wenyewe. Sasa sie wabongo "exposure" huwa tunadhani ni kuvaa tai na majivuno. Angalia(Anon July 2) unaweza kuwa unawafanyia dharau watu wanaokuandalia kula yako na ndugu zako. Kweli kama bado tuna ndugu wenye maziwa ya mgando vichwani.
    Kazi ipo!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 06, 2007

    Jamani Watanzani, mnafurahishaa sana, nacheka mbavu sina.
    Computer medicine?
    Waalikwa wavae nao majoho?
    @anon 11:06am. Great point, It's all about exposure, that's what we're missing.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 28, 2008

    Kassim, it's me, Hazem. i miss you so much my brother and didn't hear about you for along time now. what do you do? tell me you news. hazem2311@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...