Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bogus university like Pacifi universisty
ReplyDeletehongera sana mzee.Keep it up!!
ReplyDeleteKimomwe unamaliza lini naona huu ni mwaka wa sita..au unasoma computer medicine nini??
Safi sana kijana, haya sasa karibu tujenge taifa. Safari bado ni ndeefu sana
ReplyDeleteI believe hii picha ilipigwa kwenye mahafali....Sasa hayo ni mavazi gani jamani kuvaliwa siku special kama hiyo? Mbona wabongo mnatutia aibu? Hata wanugu wanapendeza siku ya ku-graduate high school.. Michuzi, ebu ondoa hiyo picha, na waeleze hao jamaa next year wavae mavazi yaendanayo na heshima ya graduation. Hata pale Mlimani wamachinga wanavaa vizuri siku ya mahafali.... Itoe hii picha please michuzi.. Ni aibu..
ReplyDeleteKwikwi teh teh,kompyuta medesini imetulia hiyo oiiiiiiiiiiiiii. Ah jamani acheni kutuvunja mbavu.
ReplyDeleteWewe unaehoji mavazi, ulitaka wavae mavazi gani, au ulitaka mpaka hao walokuja kumsapoti wavae majoho na wao kama wanagradueti, basi hapo hao weupe wamevaa vibaya kuliko hao wabongo, angalau wao wamejisitiri kipindi kama hiki cha joto, weupoe uchi mtupu sasa nani anatia aibu. wacha kujifanya unajua kuvaa wewe.
ReplyDeleteHiyo Kozi ya COMPUTER MEDISIN inatolewa na Chuo kipi mimi nimeipenda.
ReplyDeleteMi nakubaliana na mchangiaji wa mwanzo kwamba hawa jamaa wamevaa mavazi ya mpirani.
ReplyDeleteHuyu anayebisha anatakiwa kwanza akaombe kurudia mtihani wake wa LY alioufeli... then aende form 1 - 4. Akimaliza form 4 aombe afaulu.. Safari yake itakua ni ndefu, ila Mungu akimsaidia akamaliza na chuo kikuu then ndio atafahamu umuhimu wa kuvaa vizuri kwenye mahafali ya rafiki ako.
Wazungu wanavaa vitu vya ajabu, ila sio kwenye graduation. Kwa hiyo wewe unaiga wazungu tu hata kama wanavaa vitu vya ajabu.. Hongera...
Fata ushauri wangu, karudie mtihani wa LY then ukimaliza yote then ndio utajua umuhimu wa kuvaa mavazi kulingana na mazingira..
Si mchezo, ukweli ni kwamba jamaa wamechoka. Naweza kuona mitumba ya manzese bado baadhi yao wanayo hata ya baada ya miaka takribani ughaibuni, hapa tatizo si pata bali they dont have class in terms of life, poleni sana na watu kama hawa uwa hawarudi nyumbani kwa kuwa hawachukua advantage ya exposure
ReplyDeleteKweli tunaona wakoloni(MaTX) wakija bongo kiatu pea moja ila ndio maCEO na wanatubuluza wanavyotaka wenyewe. Sasa sie wabongo "exposure" huwa tunadhani ni kuvaa tai na majivuno. Angalia(Anon July 2) unaweza kuwa unawafanyia dharau watu wanaokuandalia kula yako na ndugu zako. Kweli kama bado tuna ndugu wenye maziwa ya mgando vichwani.
ReplyDeleteKazi ipo!
Jamani Watanzani, mnafurahishaa sana, nacheka mbavu sina.
ReplyDeleteComputer medicine?
Waalikwa wavae nao majoho?
@anon 11:06am. Great point, It's all about exposure, that's what we're missing.
Kassim, it's me, Hazem. i miss you so much my brother and didn't hear about you for along time now. what do you do? tell me you news. hazem2311@yahoo.com
ReplyDelete