Home
Unlabelled
mazishi ya ac
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha sana!!!Mungu akupokee Amina lakini kidonda ambacho Amina umetuachia maumivu yake haya simuliki.Tutazidi kukukumbuka
ReplyDeletesheikh nasikitika sana kwa maneno yako ya kuzuhunisha kwamba watanzaia wasihoji kifo cha amina kwa kutoa hiyo sentensi tuu ina maana kuna jambo hapo hizi nchi zetu zitaendelea lini? kwanini tunauwezo mdogo wa kuchambua mambo hizi sheria na wanasheria wote wa nini? mahakama za nini na huyu rais kwanza wa nini? MNANIBORE wakati mwingine natamani kurudi nyumbani lakini nagundua siwezi ishi kwenye li nchi lisilo na mbele wala nyuma nasema kwa sauti kubwa I HATE BEING TANZANIAN upuuzi mtupuu.
ReplyDeleteHILO GAZETI HAPO JUU LINA SEMA "SHEH ATAKA WATANZANIA WASIOJI KIFO CHAKE"
ReplyDeleteWHY? NI KWELI TUTAENDELA SISI, KWANINI WATU WASIOJI NA KUPATA UKWELI, WE JUST WANT TO FIND THE TRUTH SO WE CAN ALL BE IN PEACE. TUKO KARNE YA 21 SASA SIO 12 EBO, HUYO SHEHE NA YEYE NDIO HAO HAO. TANZANIA BWANA OHH MSIHOJI KIFO CHAKE. HAYO MAMBO YA KUWA KIMYA NDIO YALIOTURUDISHA NYUMA TANZANIA MPAKA HIVI LEO, HATA WATANZANI WALIO NJE WANA FACE DIFFICULT IN WORKING PLACE SABABU YA HII CULTURE YA KUTO KUHOJI MAMBO. HIYO MIAKA IMEPITA, SASA, MMETUONEA NA KUTUPUMBAZA VYA KUTOSHA, ENOUGH IS ENOUGH! TUNATAKA MAJIBU NA TUTAHOJI KILA HOJA VIFO VISIVYO NA A WALA B, VIONGOZI WA SASA NA WALIOPITA WALIOKULA MALI YA WANANCHI, YES WALIOPITA MNAJIJUA SIKAE HAPA NA KUTULETEA MATUMBO TU, IT'S ABOUT TIME. TUMETESWA VYA KUTOSHA, TUMENYANYASWA VYA KUTOSHA, VIONGOZI MMETUTIA VIDOLE VYA MATAKONI VYA KUTOSHA.TUTA HOJI!
Hapo Sheik kasema msihoji kifo chake basi hapo midomo yote itafungwa. Watanzania my neighbors wake up....nchi yenu ina amani lakini huo ni uongo hmna amni mna uoga. Amani ya uoga haina furaha ya kweli.....
ReplyDeletemnaumia nyoyoni kwenu
nawaonea huruma lakini amkeni na fungueni macho na muache kiswahili murefu tu.
Nilikua nachunguza kwa makini hivi vichwa vya habari juu ya haya magazeti na nikavutiwa na huyu Shekhe aliesema watu wasitafute chanzo cha kifo cha Amina.Bahati mbaya siko Tanzania kwahiyo siwezi kujua alizungumza nini zaidi ktk jiyo habari,lakini kama ni suala la kumuachia tu mwenyezi mungu sikubaliani nalo na nalipinga vikali sana.Amina alikua kiongozi kwahiyo ni haki ya watanzania na familia yake kujua kilichomuua.Nafikiri si suala la kupita tu bila uchunguzi.Sioni sababu yoyote ya msingi ya msichana mdogo wa miaka 26 kufa hivihivi tu...they must be an explaination si kwetu tu bali hata kwa kile kiumbe alichokiacha duniani kwahiyo wadau mliopo nyumbani hili si la kulikalia kimya.Haswa mnaotuwakilisha na peni na karatasi(wanahabari).Huu sasa ndio wakati wenu wa kuonesha kuwa tunaendelea mbele na tunaweza kupata majibu ya issues zisizoeleweka kama kifo cha mheshimiwa mbunge,mwenyezi mungu amlaze palipo pema.
ReplyDeleteJamani kwani nini mnahoji kifo cha Amina?mbona watanzania kibao wanakufa kwa shikizo la damu ...kwa hiyo inabidi tuhoji vifo vyao? AC alikuwa mgonjwa muda mrefu na majuzi ndio siku yake ilikuwa imefika....List ya watu kibao walio kwenye mtandao wake wajiandae.
ReplyDeleteHuyo Anaejifanya mkenya hapo juu amesema kweli, Nchi yetu haina Amani ina Amani ya Uoga tu. Tuanburuzwa popote tunapokwenda si nje ya nchi si ndani. Siku zote watanzania hatuwezi kusimama for what we beliefs. Huyo shekh kasema tumuachie mungu basi na kweli tutamuachia mungu. Men Mungu kasema jisaidie nikusaidie, sasa kama hatuwezi kujisaidia mungu atatusaidia vipi? Wananchi wenzangu tusimame mambo ni mengi tu yakutupa nguvu na nia ya kusimama, viongozi wanakula hela tumekaa kimya hao tuliowachagua badala ya kuleta uzuri tu. simameni it's about time we questions some issues that touches us as citizen. Kama hutaki tusihoji nenda kawaambie msikitini huko. Na nyie ndio nyie nyie.
ReplyDeleteDU WAKULIMA MNAUMIA NA KIFO CHAKE KWANI WAKWANZA KUFARIKI BABU NA WATU BILA KUJUA.MMEAMBIWA AMEKUFA HIVYO ALIVYOKUFA KAMA FAMILIA YAKE HAIKULIDHIKA BASI WATAFUATILIA WAO KIVYAO.WATU KIBAO WAMEKUFA INAWEZEKANA HATA NDUGU ZENU HAMJUI WALIKUFA VIPI.AU CHANGENI HELA WEKA WATU WA KUCHUNGUZA KIFO CHAKE.MTU KAFA KAFA WALIFARIKI AKINA ANNA NICOLE NA MAZIWA YALE MUTIE MENGI MBONA HAMKUULIZA.MAJUZI MLIKUWA MNAMBONDEA KWENYE HII BLOG KAFARIKI KAWA MWEMA ACHENI UMBEA WABONGO.
ReplyDeleteTunaambiwa huyu mbunge alisomewa albadil ndio huyu alisoma nini? na anajua tayari kilichomuua nini???
ReplyDeleteTanzania hiyoooooo
Nadhani watu wamesahau kuwa Amina alikua adult person kisheria baba hana sayingi yeyote na kwa vile alikua ametallakiwa basi sijui kama alikua na will lakini kama hakuwa nayo well mtoto wake ndio atleast anaweza kuwaambia watu wanyamaze.
ReplyDeletePili Amina alikua mbunge...na mbunge ni public persona kwa vile hata kuugua huko ingetakiwa taz money ndio imuuguze. sasa kama ni hivyo watu wanaright ya kujua kilichomuondoa ulimwenguni.
Nchi yetu inaendesha mambo kienyeji sana.
UNAJUA BAADHI YA MAMBO MENGI TZ HAYATAKAA YABADILIKE, SISI TULIOKO MAJUU TULIKUJA KUTAFUTA MAISHA HUKU BAADA YA KUGUNDUA KUWA SERIKALI YETU HII HII NA VIONGOZI WETU HAO HAO NDIO WANAOTUGEUZIA VIBAO, NDIO MAANA TUNABAKIA HUKU MAANA HALI YA TANZANIA UKIACHIA KUWA NA MAGARI NA KUJENGA MAGOROFA BADO IKO VILE VILE, HALAFU WATU WANAANZA NYODO OOH MNABEBA MABOKSI, BORA TUBAKI HUKU TUBEBE MABOKSI LAKINI TUNAFAIDI UHURU WA HOJA NA PIA TUNAWEZA KUKIDHI MAHITAJI YETU NA FAMILIA ZETU YA KILA SIKU, KULIKO KURUDI KWENYE SERIKARI ILIYOJAA UMAFIA NA UNAFIKI, ETI VIJANA RUDINI TZ MUINDELEZE NCHI YENU, BULLSHIT, TUIENDELEZE NCHI ILIYOJAA UNAFIKI NA USHENZI MTUPU!! ETI SASA SHEIKH ANASEMA TUSIHOJI KUFA KWA AMINA!!! HIVI HIYO DEMOKRASIA TUNAYOITUMIA KUWACHAGUA VIONGOZI HAWA NDIO WANAYOTUNYANYASIA SASA HIVI? INA TIA KERO, INA UDHI NDIO MAANA VIJANA WOTE ONDOKENI TZ, TAFUTENI MAISHA NCHI ZA NJE MJENGE FAMILIA ZENU, HAKUNA HAKI TZ SASA HIVI, VIONGOZI WOTE WA DINI NA WA SERIKARI WOTE SAWA TU, WANAANGALIA KUNENEPESHA FAMILIA ZAO TU, NA SISI BASI TUTAFUTE MAISHA KWINGINE KULIKO KUTEGEMEA WATU WASIOTUJALI, UPUUUUUUZIIII MTUPU HUU!!!
ReplyDeletena huyo borderstreet, ndo nini kupoteza tension ya walio kwenye maombolezo na kutangaza kuhusu simu, hiyo simu hata ingekuwa ya bilion 10 utanunua nyingine, kuna watu waliokuwa katika sala ya kumuombea kimoyomoyo umekatiza sala zao na kutangaza issue za simu, hiyo simu si utanunua nyingine, lakini huwezi kumpata amina mwingine baba.
ReplyDeleteMbunge Amina Chifupa katuacha. Lakini "legacy" yake itabaki, kulingana na wimbo wa Nico Kassanda wa kuombeleza Patrice Emergy Lumumba wa Kongo kwamba mtoto mpendwa wa Kongo kaondoka lakini hadithi yake itabaki siku zote:
ReplyDeleteAmina Chifupa wa Baba
Amina Chifupa wa Mama
Mbunge mpendwa wa Tanzania
Hadithi yako ibakie siku zote!
Dhidi malevya jitihada yako
Imehamasisha mapambano
Yataendelea hayo mapambano
Hadithi yako ibakie siku zote!
Wengine vibaya walikuandika
Bloguni nyingi kukubandika
Siyaoni sasa yakiandikwa
Hadithi yako ibakie siku zote!
Hatujui pengine ulielezeka
Ugonjwa wako kutoelezeka
Kwa wasio karibu kuuweka
Hadithi yako ibakie siku zote!
(Tafadhali silinganishi kifo cha Amina Chifupa kuwa sawa na cha Patrice Emergy Lumumba wa Kongo - ila tu maneno ya Nico Kassanda: Hadithi yako itabaki siku zote").
JAMANI LIFE IS NOT FAIR anakufa hivi hivi mpendwa wetu, Amina Chifupa, mtu mwema namna hii, badala ya kufa migwiji kama MERON TESFAYE?? mabuji@gmail.com habari kamili tutawaletea.
ReplyDeleteMHESHIMIWA MICHUZI. TUNATOA SHUKHRANI ZA DHATI, KWA KUWA KARIBU NA FAMILIA YA MPENDWA WETU MHESHIMIWA AMINA CHIFUPA HUSUSANI BABA YAKE MZAZI, MIMI BINAFSI NILIKUWA KARIBU MSIBANI NA KUMSIKIA BABA WA MAREHEMU ANAVYOKUZUNGUMZIA VIZURI NA KUKUSHUKURU KIJANA WEWE.
MUNGU AKUBARIKI UENDELEE VIZURI NA KAZI YAKO, YA UJOURNALIST WA KIMATAIFA.
Amina alikua mbunge kwa nini alilazwa Lugalo? Ni hospital nzuri sana? Na walivyoona hali yake inazidi kudeteriate kwanini wasimpeleke Muhimbili?
ReplyDeleteTulipo vifo kama hivi wanaangalia who is the person of interest here?
ReplyDelete1. Mume- devorce - life insurance- hasira - if I can't have you nobody will.
2. Wazazi- mtoto kutalakiwa - aibu kwa familia - hasira
3. Drug pusher - obvious to shut her mounth
4. Rumors ex lovers ??? - aibu - three is a company - embaraced - their spouse
Sasa nyie wachunguzi mjue pa kuanzia
Msiba huu unafundisha mambo mawili:
ReplyDelete.kuporomoka kwa malezi hasa kwa watoto wa kike,ukiangalia historia ya amina tangu akiwa sekondari hadi mbunge.
.Nothing good comes easy whoever said so wasnt kidding,mafanikio yoyote yanataka endurance hayaji kirahisi tu na yakija kirahisi yana masharti mengi magumu
wewe ngilingwinji unayeongea kiswahili kibovu kaa kimya. Bongo kuna Amani,... na kama uoga hata kwenu upo.
ReplyDeleteHakuna nchi ya Afrika ambayo raia wake wapo huru kuonga watakacho. Hawakukatazi kuongea, lakini watakushighulikia tu.
Kifo cha AMINA CHIFUWPA WA MPAKANJIA kimemgusa kila mtanzanai. Mimi binafsi sikuwahi kuonana naye ana kwa ana ni kumsoma kwenye magazeti na kumuona kwenye runinga nilipenda sana na nilipenda sana sauti yake alipokuwa matangazaji wa Clouds FM. Inabidi tuambiwe chanzo cha kifo cha huyo dada yetu ili tulidhike hata kama ameshakufa. Manake kila mtu anasema lakwake mara kasomewa Albadra mara wanaouza madawa ya kulevya mara alikuwa na Ukimwi. Dada Amina Mungu ailaze roho yako mahari pema peponi Amina
ReplyDeleteNi kweli kabisa nasapoti anony hapo juu alotaja watu wanaositahili kufa si AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIA. Ni huyo anayejiita Meron (mabuji@gmail.com) na Matare. they are a burden to a society. ndio waondoke mana wanawake wamechoka na tabia kama zao.
ReplyDeleteAMINA CHIFUPA anatutoka hivi hivi wakati taifa linamhitaji miaka 26 tu. Halafu watu wabaya wanaishi miaka mingi jamani? kwanini?
KAKA MICHUZI ni kweli una huruma na hubaguwi MOLA AKUZIDISHIE MARA DUFU KAKA, maana si kufagilia tu imesikika kila pahali jinsi familia ya MHESHIMIWA AMINA CHIFUPA inavyokushukuru kaka , kwa kuwa karibu nao. na wewe ni wakwanza kutangaza kwenye mtandao wako huu wa kimataifa na imesaidia watanzania wengi kusikia on time. Sio watanzania wote wanaosikiliza taarifa ya habari radio tanzania. kwahiyo UMETULETEA MAENDELEO TANZANIA. UBARIKIWE KAKA.